Jese Pinkman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 661
- 338
ahahaha, anajificha kwasababu anaogopa kukwambia anaweza kukupoteza, cha msingi mwambie tu nakuruhusu uvute bangi ila sitaki uvute na wanaume wengine, na kama anataka kuvuta bangi basi avute na wewe ukiwepo, ikiwezekana jifunze uwe unamnyongea unampa, halafu taratibu taratibu unatumia busara kumwachisha, lakini ukimpiga biti aache hawezi kuacha mkuu. mfano akiwa anavuta na ww upo pembeni, unaanza kumpa darasa kua bangi sio nzuri na ajaribu kuacha taratibu, mfano mwambie ipo siku utakua mama, na bangi sio nzuri inaharibu cell za mtoto kwenye ukuaji sasa atajiharibu kizazi, kwahiyo kama ana mapenzi na mwanae mtarajiwa apunguze na ikibidi aache. jaribu kutoa maneno matamu yatakayo mgusa moyo wake na kuona kweli unamjali.
Mwana! Nimekuchomea nini! Basi nisamehe, ila ungeacha ingekuwa poa sana.
Habari wana JF.
Kama nilivyo andika kwenye kichwa cha habari, huu ni mwezi kama wa 8 hivi nipo katika mahusiano na dada mmoja, kwa kumuangalia kwa kweli ni dada mrembo sana na anaejitambua.
Sasa tatizo linakuja kila siku jioni alikua ananiaga anaenda kwa rafiki yake, mwanzoni niliona ni kawaida tu sababu nilikua namwamini sana, mda ulivokua unazidi kwenda nikawa napatwa na wasiwasi.
Siku mmoja niliamua kufanya upelelezi mimi binafsi, aliniaga anaenda kwa rafiki yake kama kawaida yake, nilikaa kama dk 10 baada ya kuondoka na mie nkamfata mpaka nyumbani kwa rafiki yake.
Sikuingia ndani nilichungulia tu dilishani, niliwakuta wakivuta bangi bahati nzuri awakuniona, nirudi nyumbani siku hiyo sikumuuliza kitu, umepita kama mwezi hivi.
Juzi nikamuuliza kama anatumia bangi, bahati nzuri hakua na ubishi alikubali, anasema bangi anayovuta haina matatizo yoyote kwake eti ni starehe tu kama mimi nnavyokunya pombe.
Tumegombana sana, naombeni ushauri wenu kama kweli bangi na pombe ni sawa na kama anafaa japo tabia nyingi nyingi za ajabu kwa sasa bado sijaziona.
Najua yupo jamii forum na najua atausoma huu uzi na najua ataanzisha mtiti mwingine, poa tu mi natafuta ushauri tu.
Ha ha haaaaa usijali kaka nini blender kwa.ajili hiyo na mouth pieces tofauti tofauti mpaka kiko!!!!
Dry na wet zote poa tu ila wet nzuri kwa afya ya mapafu,haisumbui surfactants!!!!!
Smoke responsibly!!!!
mmhhhhhhh!acha uongo khaaaaaaa!sio unabisha tu ivi arachuga unapajua unapasikia?? kuna dox moja liko kijenge chini panakaa wavuta bangi tupuu mazali kila kukicha asee usijifanye mjuaji juzi kati tu kuna limama linajifanya shangingi limepita na kimini chake kifupii kabakwa live live baada ya wiki 2 jimama likahisi dalili za ujauzito kupima kitu positive.. na ni limke la tajirii maarufu huku kwetu.. weh!! hazikupita hata siku nyingi mmama akajiua kwa aibu..
mtu akivuta gushi akasizi sii bure atakua anaugua huyo,bangi sio cocaine bana!Bangi Ina shusha hadhi ya mtu bwana, duh ndo unataka kuowa mvuta bangi apo kila jioni kasizi
Hi hakisawa naona itaja vuka mipaka. Kwa mama zetu au mabib huezi sikia nao walikuaga wavuta bangi
Ni kisikiaga flani anavuta na mtoa maana bangi sio,
Bangi Ina shusha hadhi ya mtu bwana, duh ndo unataka kuowa mvuta bangi apo kila jioni kasizi
Hi hakisawa naona itaja vuka mipaka. Kwa mama zetu au mabib huezi sikia nao walikuaga wavuta bangi
Ni kisikiaga flani anavuta na mtoa maana bangi sio,
hii thread inaonesha ni kwa kiwango gani members mmekuwa ni watumiaji wa bangi, jamani bangi sio kitu sahihi kabisa, faitilieni side effects za composition yake ili mjifunze. kwako uliyeleta uzi huu, partnership ya mapenzi ni kama ya biashara, inategemea na malengo yenu na tabia zenu. kama unatabia na unaona sahihi utumizi wa vilezi hasa bangi basi ishi nae, ila kama wewe si muumini wa maisha hayo please find partner mnaye fit nguzo na taratibu za maisha yenu.
mkuu embu jalibu kuvaa viatu vyangu afu siku umetoka kazini unakuta mtoto mama kam osha mtoto kwa uji wa mato akizani ni maji ya moto,au unakuta yuko buzz anachemsha vikombe akizani ni viazi kisa mibange yake utafanyaje,haya mambo tusiyachukulie juu juu
Hiyo siyo bangi!
mtu akivuta gushi akasizi sii bure atakua anaugua huyo,bangi sio cocaine bana!
Mkuu mbona umenishambulia sana.?mimi nakunywa pombe sawa ila sio mlevi sidhani kma kila mnywa pombe ni mlevi..na kama ningekua mlevi hata huo mda wa kufatilia nakujua hua anaenda wapi kila jioni nisinge upata sababu jion ndo ungekua mdawwangu wa kunywa pombe.pombe kwangu mimi nakunywa weekeds tu na sio weked zote.
Hawatakuwa na malezi kivipi? wewe mzee wako hanywi pombe?Ukimuacha aendelee kuvuta bangi na watoto wako hawatakua na malezi baadae
Purity ni nini?Kwani mkuu pombe inaondoa upurity wa mtu?bange sio nzuri mkuu nadhani ilo halina ubishi.
Thats my empress!Sioni tatizo yy kuvuta bangi ni starehe mwache apate stimu kwa raha zake
Ukimrudisha kwao na wewe usisahau kurudi kwenu, mji ni wa watoto siyo wako wala wake!Wote...siku nkigundua wife anavuta bangi namrudisha kwao fasta haina majadiliano.
HakikaSwali kubwa ulilouliza ni kama bangi ni sawa na pombe...
Nielewavyo mimi Pombe ina madhara zaidi kiafya na kijamii kuliko bangi.
Tatizo kubwa la bangi ni more addictive kuliko pombe. Akiweza kujicontrol akavuta kwa kiasi sioni ikimsababishia yeye, wewe au jamii inayowazunguka madhara. Shida itatokea pale akikolea na ikatokea kipindi inamlazimu aache, mfano ujauzito; atapata shida sana.
Otherwise kama anavuta kwa kiasi sioni kama ni shida. Actually kwa kuwa umejua ni bora ukawa unamnunulia anavutia home huku ukiendelea kushawishi apunguze na aache kabisa...
Atajinunulia mwenyewe.Khaa.!!nimnunulie bangi.?asante kwa ushauri ila kumnunulia bangi hapana.
Kwa hiyo kumbe unaelewa kinachohusika zaidi ni kiasi, sasa kumbe una tatizo gani tena mkuu?Mkuu inategea mtu anakunywa pombe kias gan na mvuta bangi anacuta kias gani.obama naona na yeye alikua anatete kilevi chake as kma anavuta sigara lazima ma bange ashavuta.
"Mwanzo wa mimi kutumia madawa ya kulevya ni kutokana na matumizi ya bangi ambayo mpenzi wangu alikua akinichanganyia na unga bila mimi kujua". RAY C
Dah sijui watu wanaichukulia bangi sawa na gongo!@!!
It is not as simple as romancing your computer buttons..Hawatakuwa na malezi kivipi? wewe mzee wako hanywi pombe?
Purity ni nini?
Thats my empress!
Ukimrudisha kwao na wewe usisahau kurudi kwenu, mji ni wa watoto siyo wako wala wake!
Hakika
Atajinunulia mwenyewe.
Kwa hiyo kumbe unaelewa kinachohusika zaidi ni kiasi, sasa kumbe una tatizo gani tena mkuu?
Kwa dada zangu wote mnaotumia bangi, kama mwanamume hakuelewi achana naye, there are lots of concious men out there, get yourself one!
It is not as simple as romancing your computer buttons..
Its not simple, BUT ITS WORTH IT! Trust me, ukimwacha wewe leo, kesho atapata bwana anayemwelewa.