Mpenzi wangu anavuta bangi

Mpenzi wangu anavuta bangi

Bangi Ina shusha hadhi ya mtu bwana, duh ndo unataka kuowa mvuta bangi apo kila jioni kasizi
Hi hakisawa naona itaja vuka mipaka. Kwa mama zetu au mabib huezi sikia nao walikuaga wavuta bangi
Ni kisikiaga flani anavuta na mtoa maana bangi sio,

Kuna watu wengi sana na heshima zao wanapata hii kitu na ukiambiwa hutaamini. Hii kitu unatakiwa kuivuta kwa starehe..sasa unakuta mtu hata kupata mlo mmoja inakuwa issue yeye ana vuta bangi tu,thats why wengi wanachizika.

Vuta bangi...kula vizuri, vaa vizuri, lala vizuri,una kazi yako ya maana maisha yanakwenda kawaida, hapo no kuchizika!
 
Mkuu kumbe na wewe mwanachama, ngoja nisokote moja Swazi sativa nimepokea parcel mpya kutoka kwa mzee wa totoz mwenyewe!

One of the trainer used to say.......choose one avenue to sopil it "body" .......by the way no one will check on your organs after death.......anamalizia hata Mungu atakushangaa ukienda na kila kitu bado kipya!!!!!!
 
sio mizuri.kwa watoto atakaowazaa .....usishangae akazaa taahira..ina reaction tumboni humo
 
Kuna watu wengi sana na heshima zao wanapata hii kitu na ukiambiwa hutaamini. Hii kitu unatakiwa kuivuta kwa starehe..sasa unakuta mtu hata kupata mlo mmoja inakuwa issue yeye ana vuta bangi tu,thats why wengi wanachizika.

Vuta bangi...kula vizuri, vaa vizuri, lala vizuri,una kazi yako ya maana maisha yanakwenda kawaida, hapo no kuchizika!

bangi inakupa ability ya kuongea na wanyama,kusoma akili za watu,hisia na kuona uhalisia
 
Mkuu mi nilishavuta sana bangi lakini sikupata madhara yeyote yake japokuwa sasa hivi nimeacha muda huu kama miaka4 hivi,,huyo mpenz wako kama umemkuta anavuta bangi na hajawahi kufanya kitu chochote ujue anaimudu.

Tatizo linakuja pale huwa heshima hamna maana ni atajiamini mno.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
mwache avute shada atajua mengi kuhusu hata hiyo heshima
 
Walahi hawa mademu wa JF watawaua vijana kwa presha..kilaa siku ni malalamiko hayaishi.
 
Acha izo mambo bangi ndo mpango mzima sasa kama ungempata teja ingekuaje?
 
Weed haina madhara kwa wastaarabu,tunaovuta kwa starehe!na wengi wanaotumia ni wastaarabu,so huyo gal wako hana shida,ni starehe yake!

Unaona wenyewe watumia jani wamekuja na kusema halina madhara na wangeendelea wangekwambia pombe ina madahara zaidi kuliko ganja!! Mbona inasemekana hata mawaziri wa Kikwete wanalipuliza hilo jani? Pengine usalama wa Taifa wanamficha lakini Adam Malima aliwahi kulitetea hata bungeni!!
 
Ulishasikia mtu ana overdose na bangi? Bangu unavuta, unacheka, unakuwa chill, unalala. Pombe vurugu tu. Bora niwe na mtu mvuta bangi kuliko mlevi.
Huyu kijana Jaslaws si amuache huyo dada yetu tupo tutakaomuoa?
Ana bahati Karucee mpaka sasa hajaingia na akikuta ni hivi huo mtiti utakaotokea home kwao sijui hapatakalika teh teh teh
Mbunge Mh Kesi ameliomba Bunge liipitishe hii kitu kwani haina madhara na ni Dawa
 
Last edited by a moderator:
Sigara ina madhara makubwa kulinganisha na bangi ni fresh sana na wewe ktk maelezo yako ni shahidi,hivyo basi muache aendelee kuvuta kwa amani,kwani jambo hilo ni sawa na kufanya ibada.
 
Back
Top Bottom