Mpenzi wangu anavuta bangi

Mpenzi wangu anavuta bangi

Hahahahaahhahaa...momiiiii...dont try it...but try it when ur about kubanjuka kunako 6 to 6...it has a unique taste...

mmhh I wont dady.. bado najihitaji mwanao... naweza jikuta mechi inaanza naambiwa kaa hivi narushia mtu ngumi teh teh bangi ni hatareeeeeeee......
 
lol arachuga ni nouma i real lobe that place of matukio kubakwa mchana kweupeee huku watu wanakuangalia hata hawashtuki kawaida sana...... nikipita kijuweni kwa machalii washapata vyao najistukiajee usipowasalimia unalo.. ukiringa unalo ukileta usista duu unalo..ukitongozewa ukakataa unalo... mi full kujigonga matage si matege mweh..!!!

I don't blv that sio arusha nayoijua mm
 
Ntajirahidi nione kama ataacha bangi ni mbaya sana.

bangi sio mbaya chali angu.‘‘a joke''. tena wanaopiga hiyo kitu ni watu wazuri sana... hawana matatizo na mtu na kwny mapenzi ni waaminifu. nawapenda kuona wanavyoishi ila sipendi wawe part of my life...
 
I don't blv that sio arusha nayoijua mm

sio unabisha tu ivi arachuga unapajua unapasikia?? kuna dox moja liko kijenge chini panakaa wavuta bangi tupuu mazali kila kukicha asee usijifanye mjuaji juzi kati tu kuna limama linajifanya shangingi limepita na kimini chake kifupii kabakwa live live baada ya wiki 2 jimama likahisi dalili za ujauzito kupima kitu positive.. na ni limke la tajirii maarufu huku kwetu.. weh!! hazikupita hata siku nyingi mmama akajiua kwa aibu..
 
The feeling is.mutual here
I love women who smoke I real don't know y
Kwamfano hapa kwa office kuna dem mpya kahamia she smokes a lot namuoa so attractive aisee

ndege wafananao............??????
 
Weed ni nzuri mdogo wangu hujawai kuvuta nin yaaan kama unamuona bob ama luckdube huyu hapa na unampa tano. Sasa wewe anza kumnunulia alafu kiroho safi unampa nafsi yake itamsuta ukifanya mala mbili au tatu ataaacha.
 
Japo napenda sana hii kitu ila siwez ruhusu chick wangu atumie labda kama sina future nae. Jah Rastafari
 
Bangi Ina shusha hadhi ya mtu bwana, duh ndo unataka kuowa mvuta bangi apo kila jioni kasizi
Hi hakisawa naona itaja vuka mipaka. Kwa mama zetu au mabib huezi sikia nao walikuaga wavuta bangi
Ni kisikiaga flani anavuta na mtoa maana bangi sio,
 
sio unabisha tu ivi arachuga unapajua unapasikia?? kuna dox moja liko kijenge chini panakaa wavuta bangi tupuu mazali kila kukicha asee usijifanye mjuaji juzi kati tu kuna limama linajifanya shangingi limepita na kimini chake kifupii kabakwa live live baada ya wiki 2 jimama likahisi dalili za ujauzito kupima kitu positive.. na ni limke la tajirii maarufu huku kwetu.. weh!! hazikupita hata siku nyingi mmama akajiua kwa aibu..

Acha umbea mwanaume nko kijenge ya chini tena nyuma ya soko kaks amna mtu aliyebakwa hyo juz na pia ukome kutuchafulia mtaa . eti kijenge bhang mshenz kweli we umeniboa mbaya eti kij
enge banf huon haya kuongea umbea mtoto wa kiume, kazi kwelikweli
 
MAHOndwa, acha umbea mwanaume nko kijenge sa hv acha hizo, acha kuchafua mtaa kias kwamba tukipita sehemu tunuke ladha ya bhang, umeniudhi sana
 
Last edited by a moderator:
Naomba no zake,we can make a very good and longlasting friendship.
 
Back
Top Bottom