Mpenzi wangu anavuta bangi

Mpenzi wangu anavuta bangi

Umeumaliza uzi ungali na umri mdogo!!!!!

Mkuu mwanamke ni wa ajabu sana halafu hua wana maamuzi ya haraka halafu badae wanajutia, sasa akimwacha magetto mengine huko ndo atakapoharibikia, mwanamke ni mwenye moyo wa huruma, anategemea utakua mkali lakini kama ukimsikiliza, yaani atakupenda nyang'a nyang'a, ukimwambia acha hiyo kitu anaacha kabisa, mwanamke anatulizwa kwa maneno sio kwa misuli, ukifanya hasira unampoteza, maneno matamu hua yanamtuliza mwanamke wa aina yeyote duniani, ndo maana unaona mahusiano mengine jamaa kauzu sura imekomaa lakini mkewe au demu wake ni bomba vibaya mno unajiuliza kapenda nini pale lakini ni maneno tu yanayomfariji ndo yamemgundisha hapo.
 
Another brother is speaking senses here!!!!!!

The Boss, Kaizer, Tized
 
Last edited by a moderator:
Another brother is speaking senses here!!!!!!
The Boss, Kaizer, Tized

Mkuu nimeona wala sinataka kusoma comments nyinginr

Ika hebu atuambie akiwa amevuta kwenye mechininakuwaje si ndo anakuwa na stimu mbaya kabisa

Hapa MMU naomna anaevuta aniPM tafadhali tu prove hii hypothesis
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la kuokota watu barabarani.
Kaa na mtu umsome, uelewe tabia yake, ukigombana nae reaction yake inakuwaje, mjaribu kwa vitu tofauti.
 
Hahahahaahhaaha....Bhangeeee...lol...MMU kuna mambo jamani...JF is never boring...sipati picha akipiga bhangeee kwenye 6 kwa 6 inakuwaje
 
Habari wana JF.

Kama nilivyo andika kwenye kichwa cha habari, huu ni mwezi kama wa 8 hivi nipo katika mahusiano na dada mmoja, kwa kumuangalia kwa kweli ni dada mrembo sana na anaejitambua.

Sasa tatizo linakuja kila siku jioni alikua ananiaga anaenda kwa rafiki yake, mwanzoni niliona ni kawaida tu sababu nilikua namwamini sana, mda ulivokua unazidi kwenda nikawa napatwa na wasiwasi.

Siku mmoja niliamua kufanya upelelezi mimi binafsi, aliniaga anaenda kwa rafiki yake kama kawaida yake, nilikaa kama dk 10 baada ya kuondoka na mie nkamfata mpaka nyumbani kwa rafiki yake.

Sikuingia ndani nilichungulia tu dilishani, niliwakuta wakivuta bangi bahati nzuri awakuniona, nirudi nyumbani siku hiyo sikumuuliza kitu, umepita kama mwezi hivi.

Juzi nikamuuliza kama anatumia bangi, bahati nzuri hakua na ubishi alikubali, anasema bangi anayovuta haina matatizo yoyote kwake eti ni starehe tu kama mimi nnavyokunya pombe.

Tumegombana sana, naombeni ushauri wenu kama kweli bangi na pombe ni sawa na kama anafaa japo tabia nyingi nyingi za ajabu kwa sasa bado sijaziona.

Najua yupo jamii forum na najua atausoma huu uzi na najua ataanzisha mtiti mwingine, poa tu mi natafuta ushauri tu.

Madem wavuta bangi ni watam sana jamani.hawana longolongo kwenye mtanange mkuu Jaslaws kama ume mshindwa tuachie sisi marasta.
 
Last edited by a moderator:
mi ndo sijakua au yye.?

mwanamke masaa 24 anakaa na watoto, na ndiye mlezi mkuu wa familia.. je nao si atawafundisha kuvuta bangi!!?? kwangu mimi achilia mbali bangi, mwanamke akiwa mtumia sigara au pombe daaahhh inaniwia ngumu sana kukaa nae...
 
HMS is really something Mkuu. Nimependa ushauri wake.

Most of foreign substance to our normal body system isnt advised, albeit we use them responsibly. Kama alivyosema HMS mtu mzima mara nyingi harejeshwi na ukali, bali kwa upole, kuchukuliana na kujali. Tunapotumia ukali tunawafanya tu wawe wasamaria mbele ya macho yetu ila tukiwa hatupo... ni BALAA......ndio wnafungulia mbwa kwa spidi kali zaidi maana anajua ana muda mfupi kabla hujarejea so he/she make the most of it. ukirejeee unamkuta mpoleeeeeee kumbe kimoyomoyo anakung'ong'a. Ukali tunau-capitalize kwenye baadhi ya ishu strategically vinginevyo ukiwa laini laini kwa hii jinsia mtu mzima utachezewa sharubu yakheee!!!

Another brother is speaking senses here!!!!!!

The Boss, Kaizer, Tized
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: HMS
Yeye anakula mjani ,wewe unakula mtungi basi ngoma droo.

kijiwe chake huwa wanakuwa na kina 20%,Chuji na Boban.

hahaha anavuta na shosti ake,avuti nao aisee hiyo si ingekua hatari zaidi
 
mwanamke masaa 24 anakaa na watoto, na ndiye mlezi mkuu wa familia.. je nao si atawafundisha kuvuta bangi!!?? kwangu mimi achilia mbali bangi, mwanamke akiwa mtumia sigara au pombe daaahhh inaniwia ngumu sana kukaa nae...

so unanishauri nitafute mwingine.?
 
Kwanza unabidi ujiulize tatizo lako na uvutaji wake wa bangi ni nini? Akivuta anakuwa mgomvi?
anasahau majukumu yake? Kuna wakati inafika badala ya kuzuia kila kitu kwa nguvu mwenzako
anachopenda inabidi kutumia maridhiano.
Kuna baadhi ya wanawake wengi tu warembo ambao wanatumia hii kitu japo kwa siri.
Pale wewe kama mwenza unapoonyesha 'reasoning' badala ya 'panic' kwenye mambo kama
hayo basi ni rahisi yeye kuwa wazi.
Kumbuka mwanamke siyo mtoto wa kumbadili tabia kwa kutumia nguvu..
 
Another brother is speaking senses here!!!!!!

The Boss, Kaizer, Tized

mkuu embu jalibu kuvaa viatu vyangu afu siku umetoka kazini unakuta mtoto mama kam osha mtoto kwa uji wa mato akizani ni maji ya moto,au unakuta yuko buzz anachemsha vikombe akizani ni viazi kisa mibange yake utafanyaje,haya mambo tusiyachukulie juu juu
 
Last edited by a moderator:
so unanishauri nitafute mwingine.?

La hasha sikushauri hivyo, nadhani wasiliana na moyo wako je hiyo hali unaipenda, je ushaongea nae na anachukuliaje hilo swala? mimi binafsi nisingewza vumilia hiyo hali ila SIMAANISHI NA WEWE USIVUMILIE....
Embu soma na hii komenti ya mdau...
Kwanza unabidi ujiulize tatizo lako na uvutaji wake wa bangi ni nini? Akivuta anakuwa mgomvi?
anasahau majukumu yake? Kuna wakati inafika badala ya kuzuia kila kitu kwa nguvu mwenzako
anachopenda inabidi kutumia maridhiano.
Kuna baadhi ya wanawake wengi tu warembo ambao wanatumia hii kitu japo kwa siri.
Pale wewe kama mwenza unapoonyesha 'reasoning' badala ya 'panic' kwenye mambo kama
hayo basi ni rahisi yeye kuwa wazi.
Kumbuka mwanamke siyo mtoto wa kumbadili tabia kwa kutumia nguvu..
 
Kwanza unabidi ujiulize tatizo lako na uvutaji wake wa bangi ni nini? Akivuta anakuwa mgomvi?
anasahau majukumu yake? Kuna wakati inafika badala ya kuzuia kila kitu kwa nguvu mwenzako
anachopenda inabidi kutumia maridhiano.
Kuna baadhi ya wanawake wengi tu warembo ambao wanatumia hii kitu japo kwa siri.
Pale wewe kama mwenza unapoonyesha 'reasoning' badala ya 'panic' kwenye mambo kama
hayo basi ni rahisi yeye kuwa wazi.
Kumbuka mwanamke siyo mtoto wa kumbadili tabia kwa kutumia nguvu..

yani sio rahisi kujua kama anvuta labda uamue kujua kama nlivo amua,lakin otherwise shes veryvery okey wala ajapungukiwa kitu and she loves me sana,tatizo ni je hatabadilika?bange hua zinatabia za kumaddict mtu sasa akiongeza dozzndo utajua maana halisi ya bange.
 
Weed haina madhara kwa wastaarabu,tunaovuta kwa starehe!na wengi wanaotumia ni wastaarabu,so huyo gal wako hana shida,ni starehe yake!

Yeah dats it!!
Hata maji ni simu ukiyatumia bila ustaarabu!!
:::::::::young wild and free""""
 
La hasha sikushauri hivyo, nadhani wasiliana na moyo wako je hiyo hali unaipenda, je ushaongea nae na anachukuliaje hilo swala? mimi binafsi nisingewza vumilia hiyo hali ila SIMAANISHI NA WEWE USIVUMILIE....
Embu soma na hii komenti ya mdau...

hainiumizi sababu kwa mda wote haijaniathiri chochote,conflict inakuja ni je ataendelea kua hivi hivi kwa upole huu,na je mtoto atamlea vipi na mimoshi yake?
 
Back
Top Bottom