Mpenzi wangu anavuta bangi

Mpenzi wangu anavuta bangi

"Mwanzo wa mimi kutumia madawa ya kulevya ni kutokana na matumizi ya bangi ambayo mpenzi wangu alikua akinichanganyia na unga bila mimi kujua". RAY C

kumbe alikua anachanganyiwa
ndio maana,ingekua bangi tu,waaalaaaa
 
i'm talking about mtaani kwetu jamani eeeeeeeee. all in all arusha is 75% about bangi, miraa etc ukubali ukatae... afu ukome mwenyewe.... mmmxxxxxxxxious...idiot.

nkwel aseeh chugaa mahewa nikila mahala yaaan kushoto kulia...pita hiyo mitaa ya eso+matejoo+shams huko widi+gongo mitaro yote ful maji meusi kitu molasesi sijui sekei nenda ungalimii.....chuga inakubd uish kikoraaa
 
Habari wana JF.

Kama nilivyo andika kwenye kichwa cha habari, huu ni mwezi kama wa 8 hivi nipo katika mahusiano na dada mmoja, kwa kumuangalia kwa kweli ni dada mrembo sana na anaejitambua.

Sasa tatizo linakuja kila siku jioni alikua ananiaga anaenda kwa rafiki yake, mwanzoni niliona ni kawaida tu sababu nilikua namwamini sana, mda ulivokua unazidi kwenda nikawa napatwa na wasiwasi.

Siku mmoja niliamua kufanya upelelezi mimi binafsi, aliniaga anaenda kwa rafiki yake kama kawaida yake, nilikaa kama dk 10 baada ya kuondoka na mie nkamfata mpaka nyumbani kwa rafiki yake.

Sikuingia ndani nilichungulia tu dilishani, niliwakuta wakivuta bangi bahati nzuri awakuniona, nirudi nyumbani siku hiyo sikumuuliza kitu, umepita kama mwezi hivi.

Juzi nikamuuliza kama anatumia bangi, bahati nzuri hakua na ubishi alikubali, anasema bangi anayovuta haina matatizo yoyote kwake eti ni starehe tu kama mimi nnavyokunya pombe.

Tumegombana sana, naombeni ushauri wenu kama kweli bangi na pombe ni sawa na kama anafaa japo tabia nyingi nyingi za ajabu kwa sasa bado sijaziona.

Najua yupo jamii forum na najua atausoma huu uzi na najua ataanzisha mtiti mwingine, poa tu mi natafuta ushauri tu.

inakubid nawe uanze kuvuta ili mwende sauwa.....ukiwaachia magun wa mtaa na makachaa utawalaumu bure....ataliwa jamaa atawaona kama wenzake vile na manaty dreada kuliko wewe....
Tembea uone arawaa kwa Kenyatta ndo usiseme jamaaaa pande za Nai na Mombasa utakutana na watoto wazuri balaa lakini wanakula mahewa niajee nioumaaa mixer kijiti na miraaa hyo inapimwa kwa kilo atiii.....ukiwacheki watoto wa maana wengine wanamambwana zao washua tu basi ndo hivo tena wamezimika na manaty.....miraa/gomba/chakasi kushoto kulia wacha iitwe haramu tu...
 
Mpeleke kwa RayC Foundation wanadeal na watu km hao so yu'll get hlp thr
 
Uzuri wanguu wa kuzaliwa naoooooo,
Pesa ninayooo ya kutumiaaaaa,
Gari la kutembeleaa, ninalooo,
Nyumba nzuri ya kulalaa, ninayooo mamaaa!

Bange, nibangue, nifike ikulu, niwe mkuluuuuuuu!
 
sasa na wewe si unakunywa pombe mwache mrembo ale bange kila mtu na starehe zake baba ake kitu mwake!
 
Safi sana na wewe mjoin mvute wote then muende bed uone itakavyokuwa tAMU MARUHANI YATAKAVYOPANDA
 
Oooooooooowi Yesu na Maria ametoka Arusha huyoo mwanamke na bangi wapi na wapi ndo mlezi mkuu wawatoto huyo akiamungu atawavutisha bange ww huoni kule mkoa fulan baba mlevi na mama mlevi mwisho wa siku wanaenda bar wote na watoto mshaur aachee
 
Muoe tu mkuu, atakufundisha wewe na watoto wenu, mtaishi maisha mazur ndan ya bangiiiiii
 
may be bangi ndo inampa steam za kukupenda... toka ulivomkataza kuvuta mapenzi yenu yamebaki palepale au yamekuwa mazuri zaid... chukua hatua
 
Habari wana JF.

Kama nilivyo andika kwenye kichwa cha habari, huu ni mwezi kama wa 8 hivi nipo katika mahusiano na dada mmoja, kwa kumuangalia kwa kweli ni dada mrembo sana na anaejitambua.

Sasa tatizo linakuja kila siku jioni alikua ananiaga anaenda kwa rafiki yake, mwanzoni niliona ni kawaida tu sababu nilikua namwamini sana, mda ulivokua unazidi kwenda nikawa napatwa na wasiwasi.

Siku mmoja niliamua kufanya upelelezi mimi binafsi, aliniaga anaenda kwa rafiki yake kama kawaida yake, nilikaa kama dk 10 baada ya kuondoka na mie nkamfata mpaka nyumbani kwa rafiki yake.

Sikuingia ndani nilichungulia tu dilishani, niliwakuta wakivuta bangi bahati nzuri awakuniona, nirudi nyumbani siku hiyo sikumuuliza kitu, umepita kama mwezi hivi.

Juzi nikamuuliza kama anatumia bangi, bahati nzuri hakua na ubishi alikubali, anasema bangi anayovuta haina matatizo yoyote kwake eti ni starehe tu kama mimi nnavyokunya pombe.

Tumegombana sana, naombeni ushauri wenu kama kweli bangi na pombe ni sawa na kama anafaa japo tabia nyingi nyingi za ajabu kwa sasa bado sijaziona.

Najua yupo jamii forum na najua atausoma huu uzi na najua ataanzisha mtiti mwingine, poa tu mi natafuta ushauri tu.

Na wewe nenda ukaivute..
 
m nimependa pale ulipokua unachungulia dirishan,,,,,poor thnkin
 
Bangi ni dawa....sio mbaya kama sigara....pombe ndo mbaya zaidi....mnunulie awe anavuta home ipo cku ataacha tu.

hahaha,,,na uyu ndo uyoo mvutaji,,,,dada acha bangi sio nzuri ee,,,,,
 
Bange(mama) +pombe (alcohol-baba)=...................
embu leteni majibu ya hao watoto wao itakuaje..!!!
 
Mkuu mchunguze baada ya kulivuta. Je anapata hisia za mapenzi wakati wa kuvuta ? Na kama ni hivyo then huenda akafanya mapenzi na hao anaovuta nao.
Bangi + ngono = uroda x 2.
 
Kama unampenda wewe endelea nae, usiogope kwa kuwa anapiga mistari.

Tatizo watu wanalitafsiri jani sivyo na kufanya ionekane kama kitu cha ajabu sana
 
Hii thread imenikumbusha mbali sana, niliwahi date mara moja tu na mwanamke smoker, aisee nilikuwa nakinyonga baada ya chakula cha usiku, tunasizi halafu majamboz.
 
Back
Top Bottom