Mpenzi wangu anavuta bangi

Mpenzi wangu anavuta bangi

ahahaha, anajificha kwasababu anaogopa kukwambia anaweza kukupoteza, cha msingi mwambie tu nakuruhusu uvute bangi ila sitaki uvute na wanaume wengine, na kama anataka kuvuta bangi basi avute na wewe ukiwepo, ikiwezekana jifunze uwe unamnyongea unampa, halafu taratibu taratibu unatumia busara kumwachisha, lakini ukimpiga biti aache hawezi kuacha mkuu. mfano akiwa anavuta na ww upo pembeni, unaanza kumpa darasa kua bangi sio nzuri na ajaribu kuacha taratibu, mfano mwambie ipo siku utakua mama, na bangi sio nzuri inaharibu cell za mtoto kwenye ukuaji sasa atajiharibu kizazi, kwahiyo kama ana mapenzi na mwanae mtarajiwa apunguze na ikibidi aache. jaribu kutoa maneno matamu yatakayo mgusa moyo wake na kuona kweli unamjali.
Asante kwa ushauri,tatizo ni ile tumetoka kazini jion,hvi tunakaaje ndani na mwenzangu aanze kuvuta bangi hivi om kwangu sipatakua kama ghetto tu la wahuni.?kma nnavojua harufu ya bangi ata wengin wakija lazima watashtukia tu.
 
  • Thanks
Reactions: HMS
We umemkuta anavuta na ulimpenda na hajakudanganya na unasema hana tabia ya hovyo sasa shida nini????!!!
Si umesema ni muelewa pia ni mrembo???!!!

Purity ianze na wewe uache pombe naye aache smokie muwe watu sober! !!!

Olesadimu;
Leo nakupa li like langu tu. Hivi wawezaje kuona kibanzi jichoni mwa mwenzako wakati weye kwako ni boriti limetokeza? Weye ni mlevi, unataka kumnyima mwezio bangi, zote hizo ni ulevi tuuuu. Acha pombe kwani wajuaje kuwa weye ndo wamfanya aende kuvuta bangi kupotezea mawazo?? Huenda ameona wanaume wote ni hovyo kwa mipombe yenu hiyo. Unarudi uko nzwi, ukipanda tu unahema ka wataka kukata roho juu yake, bibie anabaki na hofu mpaka unapomaliza. Aacheje kuvuta bangi imliwaze??? Usimwonee, acha pombe umshauri ataacha bangi zake.
 
Same page son mangatara!!!
 
Last edited by a moderator:
Daah!mkuu bangi kitu ingine ipo siku atakuja kukufanya kitu cha ajabu humo ndani,chamsingi mkataze na mueleze madhara yake asipokuelewa mchonganishie police alafu akae lockup hata siku tatu akitoka hata thubutu.
 
Olesadimu;
Leo nakupa li like langu tu. Hivi wawezaje kuona kibanzi jichoni mwa mwenzako wakati weye kwako ni boriti limetokeza? Weye ni mlevi, unataka kumnyima mwezio bangi, zote hizo ni ulevi tuuuu. Acha pombe kwani wajuaje kuwa weye ndo wamfanya aende kuvuta bangi kupotezea mawazo?? Huenda ameona wanaume wote ni hovyo kwa mipombe yenu hiyo. Unarudi uko nzwi, ukipanda tu unahema ka wataka kukata roho juu yake, bibie anabaki na hofu mpaka unapomaliza. Aacheje kuvuta bangi imliwaze??? Usimwonee, acha pombe umshauri ataacha bangi zake.
Mkuu mbona umenishambulia sana.?mimi nakunywa pombe sawa ila sio mlevi sidhani kma kila mnywa pombe ni mlevi..na kama ningekua mlevi hata huo mda wa kufatilia nakujua hua anaenda wapi kila jioni nisinge upata sababu jion ndo ungekua mdawwangu wa kunywa pombe.pombe kwangu mimi nakunywa weekeds tu na sio weked zote.
 
Unapenda demu mvuta bangi.

Bila ya kukukosea adabu mkuu hao walikuwa ndio khaswaaaaa "mizao" yangu yaani ana smoke akiwa na taulo lake then anaoga na kuswaki saaafi kabisa anatupia bubble gum, mibody splash na uturi wake saaafi inakuwa siri yenu tu.. .Those eyes na lips aaanh they keep you keep deepin for mo honey!!!!!!

Ingekuwa apple ningekuomba nionje kipande
 
Asante kwa ushauri,tatizo ni ile tumetoka kazini jion,hvi tunakaaje ndani na mwenzangu aanze kuvuta bangi hivi om kwangu sipatakua kama ghetto tu la wahuni.?kma nnavojua harufu ya bangi ata wengin wakija lazima watashtukia tu.

Ni kweli, lakini hapo home kwako tengeneza kibanda cha nje kama vile vya security, iwe getto halafu akitaka kupiga hyo kitu aende kule, ataacha tu ukitumia busara, kama katulia na anafaa kuwa mke basi sioni shida, hiyo kitu inaachika tu wala usijali.
 
Bila ya kukukosea adabu mkuu hao walikuwa ndio khaswaaaaa "mizao" yangu yaani ana smoke akiwa na taulo lake then anaoga na kuswaki saaafi kabisa anatupia bubble gum, mibody splash na uturi wake saaafi inakuwa siri yenu tu.. .Those eyes na lips aaanh they keep you keep deepin for mo honey!!!!!!

Ingekuwa apple ningekuomba nionje kipande

Haha mkuu njoo mi taa ya tabata aroma ntakuonjesha abadani.
 
Ni kweli my dia bangi haina madhara, na huyo demu kuvuta ni jambo la kawaida sn so jamaa achukulie poa tu watu tuna miaka 13 kwenye gemu since primary school hadi leo tupo hapa na hamna effects zozote.
Weed haina madhara kwa wastaarabu,tunaovuta kwa starehe!na wengi wanaotumia ni wastaarabu,so huyo gal wako hana shida,ni starehe yake!
 
Ni kweli, lakini hapo home kwako tengeneza kibanda cha nje kama vile vya security, iwe getto halafu akitaka kupiga hyo kitu aende kule, ataacha tu ukitumia busara, kama katulia na anafaa kuwa mke basi sioni shida, hiyo kitu inaachika tu wala usijali.
Mkuu unamaanisha nitengeneze ganja smoking room sio?uoni kma ntakua namuhamasisha.?
 
Back
Top Bottom