Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Siyo huyu kweli?
Aaakhaaaa babu wee!sio mm
Siyo huyu kweli?
Hahahahaahhaaha....Bhangeeee...lol...MMU kuna mambo jamani...JF is never boring...sipati picha akipiga bhangeee kwenye 6 kwa 6 inakuwaje
dadii kwani nawewe ni mdau w???? i cant believe...!!
Weed haina madhara kwa wastaarabu,tunaovuta kwa starehe!na wengi wanaotumia ni wastaarabu,so huyo gal wako hana shida,ni starehe yake!
Weed haina madhara kwa wastaarabu,tunaovuta kwa starehe!na wengi wanaotumia ni wastaarabu,so huyo gal wako hana shida,ni starehe yake!
Mamiiii...hujawahi kujaribu weed? Usithubutu kutojaribu kupata ile kitu.....it has the flavor of its kind...But dont try it at home momie
hah hah and i'll never try dadii dont wor....akili yangu yenyewe ilivo less nikitupia na hiyo kitu si nitatembea u.chi kabisa!!!!!!!!
aiseeeeee chaliiiiiii.....kama ni mkazi wa chuga.....kwa hii baridi sishangai....
lol arachuga ni nouma i real lobe that place of matukio kubakwa mchana kweupeee huku watu wanakuangalia hata hawashtuki kawaida sana...... nikipita kijuweni kwa machalii washapata vyao najistukiajee usipowasalimia unalo.. ukiringa unalo ukileta usista duu unalo..ukitongozewa ukakataa unalo... mi full kujigonga matage si matege mweh..!!!

Huyo demu wako nshamjua, alinambia hana mpango wa kuacha bangi. Alinambia ana mpenzi wake JE, kumbe ndo wewe?
Hahahahaahhahaa...momiiiii...dont try it...but try it when ur about kubanjuka kunako 6 to 6...it has a unique taste...