Mpenzi wangu anavuta bangi

Mpenzi wangu anavuta bangi

Habari wana JF.

Kama nilivyo andika kwenye kichwa cha habari, huu ni mwezi kama wa 8 hivi nipo katika mahusiano na dada mmoja, kwa kumuangalia kwa kweli ni dada mrembo sana na anaejitambua.

Sasa tatizo linakuja kila siku jioni alikua ananiaga anaenda kwa rafiki yake, mwanzoni niliona ni kawaida tu sababu nilikua namwamini sana, mda ulivokua unazidi kwenda nikawa napatwa na wasiwasi.

Siku mmoja niliamua kufanya upelelezi mimi binafsi, aliniaga anaenda kwa rafiki yake kama kawaida yake, nilikaa kama dk 10 baada ya kuondoka na mie nkamfata mpaka nyumbani kwa rafiki yake.

Sikuingia ndani nilichungulia tu dilishani, niliwakuta wakivuta bangi bahati nzuri awakuniona, nirudi nyumbani siku hiyo sikumuuliza kitu, umepita kama mwezi hivi.

Juzi nikamuuliza kama anatumia bangi, bahati nzuri hakua na ubishi alikubali, anasema bangi anayovuta haina matatizo yoyote kwake eti ni starehe tu kama mimi nnavyokunya pombe.

Tumegombana sana, naombeni ushauri wenu kama kweli bangi na pombe ni sawa na kama anafaa japo tabia nyingi nyingi za ajabu kwa sasa bado sijaziona.

Najua yupo jamii forum na najua atausoma huu uzi na najua ataanzisha mtiti mwingine, poa tu mi natafuta ushauri tu.

pombe zako na bangi za huyo mkeo zinaweza athiri intelligence ya watoto wenu unless huna malengo wa kumuoa!!!!
 
nauza samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo
black more
shiling 10000 kwa pea serfin
more
shiling 10000 kwa pea orange more shiling 10000
kwa pea gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea gold fish
shilingi10000 kwa pea na aina
nyingine nyingi kwa
picha zaidi tembelea facebook page
appolinary william utaona picha
ya samaki
kwa picha na mawasiliano
whats app number 0712505049
huduma hadi nyumbani kwako

Nao vipi wana smoke??????
 
One of the trainer used to say.......choose one avenue to sopil it "body" .......by the way no one will check on your organs after death.......anamalizia hata Mungu atakushangaa ukienda na kila kitu bado kipya!!!!!!
Mjamaa atakuwa alikuwa anatumia Bangi mbichi huyo.
Btw Hapo kwenye mkazo ni error ama umemaanisha nini??
 
Unauliza nini, kama unaichukia sana.bangi mwache. Mie mwenyewe mwanamme anayevuta sigara/ bangi, neh.

Hata wa kuanzia bar neh.
 
Unauliza nini, kama unaichukia sana.bangi mwache. Mie mwenyewe mwanamme anayevuta sigara/ bangi, neh.

Hata wa kuanzia bar neh.

Duh...sasa utaishi na nani?maana kwa takwimu tu karibu 98% ya wanaume either tunapuliza,tunagigida au tunasaga......(angalizo...namaanisha "GOMBA"!).....achana na wale sijui wa ugoro,ngada......hio 2% iliyobaki ni watoto.....nakutangulizia pole zangu!
 
Mjamaa atakuwa alikuwa anatumia Bangi mbichi huyo.
Btw Hapo kwenye mkazo ni error ama umemaanisha nini??

H aha haaaaaa labda ndio ganja effect hiyo...............Spoil was the word; to make sense...............
 
Unauliza nini, kama unaichukia sana.bangi mwache. Mie mwenyewe mwanamme anayevuta sigara/ bangi, neh. Hata wa kuanzia bar neh.
Bonadamu yeyote ana kilevi chake
mm mwenyewe bila Konyagi mwanamke simfikishi

wengine wetu humu bila tiGo (Kuparamiawenzao / kuparamiwa) hawafiki, naona bora ya bhange au pombe

Du samahani Mwezi umeandama jioni hii sorry kuwakwaza
 
Bangi, Ndumu, Ganja, Kijiti, kaya, Weed nk. Hii kitu haina shida kwa mtu ambae haimletei matatizo ujue kuna watu washafyatuka wenyewe wakivuta na Bangi ndio uchizi unazidi ili kuweka heshima mwambie avutie nyumbani asijichoreshe kitaani.
 
mkuu huyo demu wako atanifaa sana maana mi nalipuliza kweliii

Back
Top Bottom