Mpenzi wangu anavuta bangi

Mpenzi wangu anavuta bangi

Kwani mkuu pombe inaondoa upurity wa mtu?bange sio nzuri mkuu nadhani ilo halina ubishi.

Ulishasikia mtu ana overdose na bangi? Bangu unavuta, unacheka, unakuwa chill, unalala. Pombe vurugu tu. Bora niwe na mtu mvuta bangi kuliko mlevi.
 
Anza nae taratibu kwa kumpa support ili muwe karibu. Sasahivi avutie hapo home kwako huku ukimshauri taratibu itafika siku ataona anafanya kosa kuacha . Usimtukane inesha upendo. Kwanza utajuwa anakuwa na tabia gani kama ajavuta na akifuta anakuwaje. Nikwambie ukijuwa hizo tofauti itakuwa rahisi kumsaidia. Bange ni mbaya.
 
Ila mambo ya kulipuliza home wageni wakija nyumba yote bange duh afanye maamuzi magum mbona mademu wapo ambao hawavuti? Wabangi acha aende kwa wabangi

hahaha usichezee moyo wa kupenda bhana, we si unamuona hata Jese demu wake alivovuta shuka aliliajeeeeee? hehehe acha kabisa bhana, amtengenezee getto la nyuma ya nyumba, harufu haiwezi kufika main house. Sasa alipopiga bange wataka apige Crystal/Myth? lol
 
Mkuu kwa style hii ndo maana watu wanaoa wake za watu..wake za watu nikaanusha unamuoa mwanake ambaye t was not meant to be..kumbuka huyu sio kwamba anatabia mbaya nyngne tofaut na hii ya kuvuta bangi,woga wangu ni asije kunibadilikia uko mbeleni.

sasa mkuu, kama ana tabia nzuri kabisa na alikupendeza awe mkeo bangi ndiyo inakufanya ufikiri kwamba tabadilika mbele? we unajua ameanza lini kuvuta bangi? asibadilike huko nyuma aje kubadilika baada ya kuolewa na wewe, kikitokea hicho ujue si bangi iliyombadilisha atakuwa kabadilishwa na kitu kingine tu! haujawahi kuona dada mwerevu, hanywi havuti hatoki ndani lakini akambadilikia mumewwe!!
 
MAHOndwa, acha umbea mwanaume nko kijenge sa hv acha hizo, acha kuchafua mtaa kias kwamba tukipita sehemu tunuke ladha ya bhang, umeniudhi sana

i'm talking about mtaani kwetu jamani eeeeeeeee. all in all arusha is 75% about bangi, miraa etc ukubali ukatae... afu ukome mwenyewe.... mmmxxxxxxxxious...idiot.
 
Last edited by a moderator:
CYBERTEQ ndo maana nakupenda!!!!!!!!!! mi mpk to fall in luv ni lazima ukubaline na situation yng otherwise the door's open.
 
Last edited by a moderator:
mmhhhhhhh!acha uongo khaaaaaaa!

uliza usimuliwe sio kubisha tu naongea kitu nilishuhudia mimi mwenyew ninaposema majuz sijamanisha et juz jumanne ni miez kadhaa imepita na huyo mama ni jirani kabisaaaaa.....
 
uliza usimuliwe sio kubisha tu naongea kitu nilishuhudia mimi mwenyew ninaposema majuz sijamanisha et juz jumanne ni miez kadhaa imepita na huyo mama ni jirani kabisaaaaa.....

kwa hiyo maza wa watu wakambaka HADHARANI na watu wanapita tu, ilikuwa mitaa gani hiyo mkuu?
 
MAHOndwa, acha umbea mwanaume nko kijenge sa hv acha hizo, acha kuchafua mtaa kias kwamba tukipita sehemu tunuke ladha ya bhang, umeniudhi sana

we chalii vip weweeee!!!tukio limetokea miezi kibao iliopita wee unaulizia leo???? mzima kweli wewe au ushatupia iyo makitu???
 
Last edited by a moderator:
Ulishasikia mtu ana overdose na bangi? Bangu unavuta, unacheka, unakuwa chill, unalala. Pombe vurugu tu. Bora niwe na mtu mvuta bangi kuliko mlevi.
Kuna posta nmeipitia jukwaa la siasa wanasema mwanasheria mkuu alitaka kumpiga kafulira jana na comment nyingi katika hiyo post ni kua mwanasheria mkuu tatizo lake anavuta bangi.mkuu huon kama bangi bado inasifa mbaya kwenye jamii
 
kwa hiyo maza wa watu wakambaka HADHARANI na watu wanapita tu, ilikuwa mitaa gani hiyo mkuu?

arusha matukio kawaida tu the way alivokua amevaa ilichangia jimama jeupeeeee zuri kwelikwelii lina mamistari ya mapajani lilivaa kimini cha kufa mtu na ile rangi wee wahuni wakafanya yao karibia na pale mwanama kanisani... mwingine tengeru kaomba lift mazeiya hawakumchelewesha.. sio ubakaji tu na mazali mengine kibao ndio mana watu wengi kumiliki bunduki sio ajabu hawataki upuuz
 
HMS is really something Mkuu. Nimependa ushauri wake.

Most of foreign substance to our normal body system isnt advised, albeit we use them responsibly. Kama alivyosema HMS mtu mzima mara nyingi harejeshwi na ukali, bali kwa upole, kuchukuliana na kujali. Tunapotumia ukali tunawafanya tu wawe wasamaria mbele ya macho yetu ila tukiwa hatupo... ni BALAA......ndio wnafungulia mbwa kwa spidi kali zaidi maana anajua ana muda mfupi kabla hujarejea so he/she make the most of it. ukirejeee unamkuta mpoleeeeeee kumbe kimoyomoyo anakung'ong'a. Ukali tunau-capitalize kwenye baadhi ya ishu strategically vinginevyo ukiwa laini laini kwa hii jinsia mtu mzima utachezewa sharubu yakheee!!!

Maneno yako kuntu. Kila kitu kinatakiwa ki balance kwenye maisha, ukila sana ni tatizo na ukila kidogo ni tatizo, pia ukiwa mkali sn ni tatizo na ukiwa mpole sana ni tatizo. Too much or too less is harmful.

Ni busara tu na maneno matamu yanayomvuta mtu kwako.
 
Back
Top Bottom