Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

Kwani ishu si ni kutatua shida ya maji au kurudi Dar?

Hapa kuna watu wamechukia au hawapendi serikali kuhamia Dodoma maana walikuwa na maslahi yao binafsi Dar

Huko Dar nako kuna shida nyingi zaidi ya hilo la maji lakini hatusikii makelele.Kwa Dodoma ilipofikia watu wasijisumbue kwamba serikali itarudi Dar Ili waendelee kusimamia vimiradi vyao
 
Kwakweli Dodoma hali ni mbaya kupita maelezo. DUWASA walishindwa kujipanga na ongezeko kubwa la watu kwa muda mfupi.
Kwa Dodoma solution ni kununua tanki kubwa na kuliunga na system ya mabomba gharama Iko juu lakini kama uko kwako fumba macho hakuna namna.
 
My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).

Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets.

Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya.

Please visit in person and act
Subirini kwanza anajenga daraja la busisi, anamalizia airport pale chato, anaimarisha hifadhi ya chato na hospitali ya rufaa pale chato, baadaye atakuja huko kuwavutia maji kutoka bahari ya hindi
 
My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).

Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets.

Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya.

Please visit in person and act
Mkuu hiyo kampuni ya maji ya hapo umejaribu kuwasiliana nao wanasemaje,maana wiki iliopita ndugu yangu alisema kuna upungufu wa maji Dodoma kwa sababu kuna hitilafu ya umeme...
 
Wala hakuna mtu atakusikiliza ww na ombi lako. Pambana na hali yako. Naona unamwita baba yako. Na kura ulimpigia. Sasa hivi kipaumbele ni Chato tu. Wengine mkafilie mbali. Mitano au miishirini kabisaaaa
khaaaaaah
 
My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).

Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets.

Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya.

Please visit in person and act
moree
 
Back
Top Bottom