Mimi nashangaa watu badala ya kuzungumzia mambo ya maana....Sio mbaya na wewe umechangia
Wewe ni mchochezi wa vita ya kiuchumi ... unatumika na MABEBERU huso sio uzalendoMy President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).
Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets.
Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya.
Please visit in person and act
Hakuna anayependa kufanyiwa, majukumu yamegawanywa au unataka wote tukafanye kazi DUWASA? Sijajua hiyo 33 hapo juu ni namba tu au umri? kama ni umri jitathmini, Kwa heriMimi nashangaa watu badala ya kuzungumzia mambo ya maana....
Eti wanamsumbua Rais... Maji.... maji....!! wakati huu ni masika mvua nyingi sana. Acheni uvivu Kingeni maji mjikimu sio kila kitu Mfanyiwe EBO!!
Hakuna uchonganishi hata Wizara inajua hilo Naibu Waziri kisha likemea hilo (ITV) hata wiki haijaisha, sema la kuvunda mkuu, naona wanasubiri atumbuliwe mmoja au aje aulizwe maswali ya hovyo mbele ya vyombo vya habari ndio akili zitakaa sawaMleta Eleza Mtaa Ulipo
Unajua Usiichonganishe Serikali Na Wananchi Wake
33 just a number not my ageHakuna anayependa kufanyiwa, majukumu yamegawanywa au unataka wote tukafanye kazi DUWASA? Sijajua hiyo 33 hapo juu ni namba tu au umri? kama ni umri jitathmini, Kwa heri
Chato ndugu zangu ni nchi yetu sote, naomba wananchi wa Chato tuwapigie makofi wageni wote waliofika hapa."Mnatumiwa na wanasiasa wa upinzani, vibaraka wa mabeberu"
Kiwanja kiko wapi?Na wewe tuondolee uzwazwa wako, maccm wenzako wanalilia maji wewe unaleta mizaha ya kipumbavu hapa.
Wapinzani Walituchelewesha SanaHakuna uchonganishi hata Wizara inajua hilo Naibu Waziri kisha likemea hilo (ITV) hata wiki haijaisha, sema la kuvunda mkuu, naona wanasubiri atumbuliwe mmoja au aje aulizwe maswali ya hovyo mbele ya vyombo vya habari ndio akili zitakaa sawa
Pole...Dodoma maeneo/mitaa gani hayo yenye hiyo shida?My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).
Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets.
Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya.
Please visit in person and act
Mkuu wewe tena......?Huyu Awesu amekazana kutumbua tu anasahau kuwa maji hakuna!
aisee dom imekua hivyo.? miaka flan tupo owa mjomba area c 92 mbona maj yalikua matam tuHayo maji yanayobabua ngozi...!!? Wanaweka dawa hadi chakula kinapoteza ladha... Hata yakikatika milele..
5 tena.
halafu kweli.nashauri ukijenga nyumba dom weka mfumo wa gutter zielekeze kwenye kisima kikubwa au tank kusanya majivya mvua ambayo utatumia kwa raha kweli na kumwagilia na.kufulia.Hivi karibuni mvua zimekuwa zinanyesha sana, lakini watu hawahangaiki kukinga maji ya kutosha kufidia dharura za hapa na pale, basi kaeni hapo msubiri rais awaletee maji...