Story za Lumumba banaAlipigiwa Simu akatoa amri waachiwe
Naomba umsome Waberoya nadhani utamwelewa kuliko unavyonielewa
Hatuna tatizo na kubadili jina, hatuna tatizo na homeshopping au GSM au PCM,HGE n.k.
Tuna tatizo na ushiriki wa mkuu wa mkoa na hawa watu ambao kwa mujibu wako 'wamenusa hatari, wakabadili ngozi'' . Kwamba walichokuwa nafanya hakikuwa na moral values, sasa leo mkuu wa mkoa anaposhirikiana nao kwavile wamebadili jina, tena akiwaongoza kujenga majengo ya waumini wa dini akijua ni zao la moral decay hiyo ni moral decay ya hali ya juu
Mkuu wa mkoa anapojenga majengo ya serikali kwa kushirikana na GSM wakati yeye anadhamana ya kuhakikisha usafi wa washiriki , kuna tatizo
Ni kama hivi, wale watu wanaouza viungo vya binadamu watakapogeuza biashara hiyo haramu na ovu kwa kuingiza pesa katika kampuni ya mabasi tukakaa kimya kwasababu jina limebadilika, ni ukosefu wa maadili
Mkuu wa mkoa ana la kutueleza hapa! ushiriki wake na GSM unatia shaka sana kuliko kubadili majina
Kwa hili kuna mambo mawili
1. Mkuu wa mkoa awakane hadharani, na kuomba taasisi husika radhi
2. Akae kimya huku akiendelea kusiadia serikali kupambana na waouvu! awaache wananchi na hoja zao
Bado tulio wengi tuko puzzled, tafadhali fafanua.
Sasa Mpemba nani maza fox?MsemajiUkweli hapa hukusema ukweli.
Kichwa na utumbo wa habari ni vitu tofauti kabisa.
Hassanoo na upemba wapi na wapi.
Sasa Mpemba nani maza fox?
Hivi unajua kazi za DCI kweli wewe ?
Director of Criminal Investigation ?
Oooh My GodDCI = Director of Crime Investigation. Criminal ni mtu aliyefanya uhalifu, mhalifu atakuwaje na Director? Shule za mwendokasi zinawapeleka pabaya vijana wa JF
Kama humfahamu mtu anayejulikana kama ''mpemba'', ingia kwenye mtandao ya NGO zinazopambana na vita vya ujangili wa nyara za serikali au subiri kesi ya ''Malkia wa pembe za ndovu''.
Ukitaka kumfahamu ''mpemba'' pitia hii thread;
Katibu wa zamani wa Simba Hasonoo kortini kwa wizi wa pembe za ndovu
Watanzania wengi ni wagumu sana kubadilika!
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan kila siku anawambia wabadilike kwa sababu zama zimebadilika lakini wameziba masikio na hawataki kubadilika.
Ndugu yangu Diwani Athumani alikuwa anadhani ni zama zileee ambazo unaweza kuweka uzio kwa sababu ya cheo chako au ukaribu wako na Ikulu na hakuna wa kuhoji kwa nini unaweka uzio .
Huu sio muda wa kukumbatia mitandao ya kijangili na kifisadi. Zama zimebadilika sana.
Kwa nini baadhi ya watu hawajifunzi kwa Home Shopping Center ambayo baada ya kunusa hatari iliyoko mbele wakaamua kujifilisi kisheria na kuibuka huku wamevaa ngozi nyingine kibiashara inayoitwa GSM Foundation.
Rais Magufuli kila mara anawaambia kama unafahamu ulikuwa unatenda dhambi za kisiasa na kiuchumi. Huu ni muda wa kutubu na kuachana na dhambi hizo.
Vita vya nyara za serikali imemuondoa Diwani Athumani.
Kuna wengine bado wako mbioni kusombwa na mafuriko.
Director of Criminal Investigations (DCI), Isaya Mngulu | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania TodayDCI = Director of Crime Investigation. Criminal ni mtu aliyefanya uhalifu, mhalifu atakuwaje na Director? Shule za mwendokasi zinawapeleka pabaya vijana wa JF
Sasa kichwa cha habari ni Mpemba halafu ndani ni maoni yako tu
na hiyo habari ya mpemba haipo
na wewe mbona hubadiliki?
Hahahahahahaha! Hapo kwenye Division 5 umenipeleka mbali sana.Oooh My God
Yaan wewe ndio wale wa Division 5
Kwa Hiyo DDP (Director of Public Prosecutions ) Utasema ni Mktugenzi wa washatakiwaji na Umma