‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

Unajua kazi ya DCI Lakini ?
Yaani aachwe kutumbuliwa Kamanda wa Kikosi cha kuzuia ujangili atumbuliwe DCI.
Wewe ndiye huelewi pa1 na kujifanya unaelewa. Umemsikia jpm akisema kikosi cha kuzuia ujangili kilikuwa kikikwamwiswa ktk utendaji wake wa kazi? Sasa nani alikuwa akikikwamisha kikosi hicho, ndiyo utenguzi umeusikia leo.
 
Mleta thread sasa analazimisha watu waelewe kama anavyotaka. Anategemea dhana na hisia. Kama ana uhakika ni facts kwanini asiwe direct? Mwigulu aliandika hapa kwa kupiga chenga weee, watu wakarebisha. Kwahiyo kama huna uhakika ni vyema kutulia.
 
Weka Wasifu wa Mpemba.Ila nadhani ni kweli DCI alikuwa anazorotesha vita dhidi ya ujangili
JPM mwenyewe amesema yupo mtu anazuia operesheni vidi ya ujangili na ameshukuru kutaarifiwa.
 
Umeweka hekaya na udaku hakuna facts!! Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai kaingiaje? Jibu hoja kwa mifano hai usiwe too general!!
Ndhani mantiki ya mleta hoja ni kwamba jalada la kesi kubwa zinazohusu ujangili and the likewise DCI alitakiwa akamilishe upelelezi wake ampelekee DPP kwa hiyo kesi hazianzi labda kwa sababu DCI na vijana wake wanatumia muda mwingi kupeleleza na motto ya Mr Prezidaa ni HAPA KAZI TU+KASI ZAIDI YA KUTUMIKA KWA BUNDLE YA VODACOM
 
Ahaaaa hapa unatuambia jambo jingine pengine bila kufahamu, au umesahau au unachoma utambi

Hawa GSM si ndio wanaoshirikiana na Mkuu mmoja wa mkoa kujenga Hospitali na si ndio wanaosaidia kujenga jengo la dini moja chini ya mkuu huyo?
Au nitakuwa nimechanganya mambo!!!
Kama watakua ni hao labda ndio muda wa kupeleka RETURNS badala ya kuzidirect TRA wamehamua kupeleka kwa wananchi direct
 
Sie ni sawa na wale watoto wa darasa la saba. copy and paste hadi wamewaletea waalim balaa. Hatujiongezi.
 
Mkuu umeeleweka watu hawajiongezi, ila wakati mwingine kama ikikulenga ni vizuri kujifanya hujaelewa.
 
Hivi wote hawa hawaielewi hii unayoiita thread yako bado huoni kama Ina walakini? Samahani lakini kwa vile thread ni yako, hata Mimi naungana na wenzangu yaani nimeirudia rudia sijaambua chochote nimeamua
Usiwe unaandika mambo unayojua nusunusu. You can keep that to yourself or ur husband or wife
 
Wewe ndiye huelewi pa1 na kujifanya unaelewa. Umemsikia jpm akisema kikosi cha kuzuia ujangili kilikuwa kikikwamwiswa ktk utendaji wake wa kazi? Sasa nani alikuwa akikikwamisha kikosi hicho, ndiyo utenguzi umeusikia leo.
Hivi unajua kazi za DCI kweli wewe ?
Director of Criminal Investigation ?
 
Sasa ulitaka niweke maoni yako?

Kwani wewe umebadilika?

Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.

Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.

Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
Jamaa anashangaa kichwa cha Habari na Habari yenyewe havifanani
 
Mleta mada anachanganya Functions za DPP na DCI
 
Sasa hasira za nini badala ya kuandika kitu kinachoeleweka watu wakuelewe ila unaishia kutaja "mpemba" hoja yako ni ipi?
Tatizo la huyo jamaa amejipachika cheo cha usemaji wa Magufuli...so anaweza kusema chochote ilimradi aonekane.. .hii ndio gharama ya Rais kuwa MTU wa uteuzi so kila MTU anatamani kuteuliwa
 
Back
Top Bottom