chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,115
Udikt...teta haupogo...... Men Tality.....Dictionarial Men....Tality....Room.Sasa ulitaka niweke maoni yako?
Kwani wewe umebadilika?
Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.
Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.
Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.