‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

Naomba umsome Waberoya nadhani utamwelewa kuliko unavyonielewa

Hatuna tatizo na kubadili jina, hatuna tatizo na homeshopping au GSM au PCM,HGE n.k.

Tuna tatizo na ushiriki wa mkuu wa mkoa na hawa watu ambao kwa mujibu wako 'wamenusa hatari, wakabadili ngozi'' . Kwamba walichokuwa nafanya hakikuwa na moral values, sasa leo mkuu wa mkoa anaposhirikiana nao kwavile wamebadili jina, tena akiwaongoza kujenga majengo ya waumini wa dini akijua ni zao la moral decay hiyo ni moral decay ya hali ya juu

Mkuu wa mkoa anapojenga majengo ya serikali kwa kushirikana na GSM wakati yeye anadhamana ya kuhakikisha usafi wa washiriki , kuna tatizo

Ni kama hivi, wale watu wanaouza viungo vya binadamu watakapogeuza biashara hiyo haramu na ovu kwa kuingiza pesa katika kampuni ya mabasi tukakaa kimya kwasababu jina limebadilika, ni ukosefu wa maadili

Mkuu wa mkoa ana la kutueleza hapa! ushiriki wake na GSM unatia shaka sana kuliko kubadili majina

Kwa hili kuna mambo mawili
1. Mkuu wa mkoa awakane hadharani, na kuomba taasisi husika radhi
2. Akae kimya huku akiendelea kusiadia serikali kupambana na waouvu! awaache wananchi na hoja zao
Mbona hata Ikulu inahusisha nao hao GSM alitokea wapi makamu wa raisi kwenda kuweka jiwe la msingi kwa watu wa kwema kodi
 
Naomba umsome Waberoya nadhani utamwelewa kuliko unavyonielewa

Hatuna tatizo na kubadili jina, hatuna tatizo na homeshopping au GSM au PCM,HGE n.k.
1. Mkuu wa mkoa awakane hadharani, na kuomba taasisi husika radhi.
Mkuu wa Mkoa awakane kwa kosa gani? Unataka awakane kwa hoja za kisiasa ambazo hazina nguzo kisheria?

Nimekupa mfano wa Clinton na Trump kuhusu kodi na kama huwezi kuelewa basi sina cha kuongeza.
2. Akae kimya huku akiendelea kusiadia serikali kupambana na waouvu! awaache wananchi na hoja zao
Kwa nini akae kimya wakati nchi yetu inaishi katika msingi wa presumption of innocence unaosema, innocent until proven guilty.
 
Sasa kichwa cha habari ni Mpemba halafu ndani ni maoni yako tu
na hiyo habari ya mpemba haipo

na wewe mbona hubadiliki?
Labda huyo mwenyekiti wa chama cha mpira Hassanoo wa pwani ndiye Mpemba. Mi sijamwelewa kabisa. Anadilike
 
Eti home shopping centre walikuwa gamba na kujitahidi GSM foundation kwa Magufuli amewaharalisha kwa sababu serikali yake wanafanya kazi kwa karibu ndio maana a naonekana mnafiki tu wengine anawatumbuwa wengine anawaka heshima
Ndugu yangu nadhani hapa hujatenda haki kwa eneo fulani. Magufuli kama Rais sijaona namna anayoweza kuingia katika hili, namtetea kwa dhati kabisa Mh Rais

Tatizo ninaloona , mwakilishi wa Rais katika serikali ya mkoa ambaye ni mkuu wa mkoa anashirikiana na GSM ambao msemajiukweli ametupa hint walinusa hatari wakabadili ngozi.

Huyu pengine ndiye anatengeneza link iliyokufanya ukahisi kwenda mbali. Hili ni la mkuu wa mkoa
 
Sasa ulitaka niweke maoni yako?

Kwani wewe umebadilika?

Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.

Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.

Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
Kubali tu kuwa heading na habari yenyewe haviendani acha kutoa povu mkuu...waswahili husemi Mjinga akinyamaza huonekana ana hekima.
 
Uyo mpemba ni kidagaa tu papa yupo mbona haguswi yule katibu mkuu wa chama kilee chenye nguvu meli yake iliyokuwa imebeba bangi ikaunguzwa ukouzunguni baada ya kugundulika mwaka Jana vp yale meno ya tembo yaliyoondoka na rais wa China VP Yale meno ya tembo yaliyokamatwa air port takukuru wakayashikilia kimya kimya bila kesi yoyote baada ya kugundulika ni yakatibu wa chama flani
 
Mkuu wa Mkoa awakane kwa kosa gani? Unataka awakane kwa hoja za kisiasa ambazo hazina nguzo kisheria?

Kwa nini akae kimya wakati nchi yetu inaishi katika msingi wa presumption of innocence unaosema, innocent until proven guilty.
Kama hatawakana haina shida. Tutabaki na ukweli kuwa homeshopping walionusa hatari wakabadili jina kwa mujibu wako, na ingawa hakusema ni hatari ipi na ikiwa tunajua awamu ile ndio wamebadili jina na kuwa GSM. Hao ndio wanashirikiana na mkuu wetu wa mkoa katika mambo kadhaa ya kijamii, ikiwemo mambo mzito yanayohitaji unyenyekevu wa kiimani.

Tunaposema akae kimya tuna maana moja, akiongea hili linaweza kuwekewa hamira, au injia watanisaidia likawa extrapolated na kufika karibu na kigamboni. Kwamba usafi unazozungumziwa ni upi? wa nguo au wa kiroho?
 
Sasa hapo umeongeaa mambo meengi hujaja na hoja yeyote inayomhusu Mpemba na Diwani athuman.. umeandika kama umeshikiwa kisu
Na kwa kweli kushikiwa kisu kubaya sana.
 
Mbona hata Ikulu inahusisha nao hao GSM alitokea wapi makamu wa raisi kwenda kuweka jiwe la msingi kwa watu wa kwema kodi
Makamu wa Rais alikaribishwa na mwenyeji wake alikuwa mkuu wa mkoa. Mnaona jinsi hii kitu inavyoanza kuwa mbaya na ngumu

Mkuu wa mkoa ndiye anaandaa protocol na kama ulimsikia akizungumza utajua ile ilikuwa ni 'ngoma yake' wengi walialikwa kucheza. Sasa unaona tatizo linavyozidi. Ni ngumu kumesa! hili mkuu wa mkoa aseme neno
Ahsante msemajiukweli kwa kutufungua macho!

Leo waumini wanajua wapi pesa inatoka, yaani GSM au homeshopping walionusa hatari kwa mujibu wa mleta mada
 
Sasa ulitaka niweke maoni yako?

Kwani wewe umebadilika?

Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.

Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.

Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
Sasa mbona unakuwa mkali,Kama hujaeleweka usiulizwe? Hata Mimi sijajua ulitaka kusema nini? Huyo Mpemba umemtelekeza wapi katika story yako?
 
Thread yako haina mashiko mkuu. Nilichotegemea kukuta ndani ya thread na nilichokiona haviendani.
Huo ndio ushahidi wa aina ya vichwa vya watanzania sisi. Wala hajali kama title haijakidhi takwa la habari yake.
 
Sasa ulitaka niweke maoni yako?

Kwani wewe umebadilika?

Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.

Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.

Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
dictarorial mentality ~John Pumba Majaliwa(JPM).
 
Back
Top Bottom