Why did you go to the old man as you adress, hana familia bado, vipi kama anayo na hujamjua kiundani?
Sent using Jamii Forums mobile app
NakaziaJamaa hana bahati kweli.. anampata dem cash madam bado anamuacha kirais rais hivyo nimeamini upele humkuta asiye na kucha.
Kwa vile nyie ni kawaida kwenu kuhudumiaNilichogundua tu ni kwamba wanawake mnaumia sana mnapo invest pesa zenu kwenye mapenzi halafu yasizae matunda. Mbona men tunachukulia kama kitu cha kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuhis maka we ndo BAHARIA??[emoji848][emoji848] MWANDIKO WA KIUME HUUInawezekana mkuu
Hahahah...! Wacha tujipe pole.[emoji23][emoji23][emoji23]Sa hivi sote, tunapata mateso
Hahahah! Nimekabwa tayari mwenzako.Ni vizuri akazane tu kuikaza hiyo kamba Big mind!
Ahsante mkuu,
Ndugu zake wakaribu ninao wasiliana nao sana ni shangazi zake
Na pia sijawahi kuwadokezea kuhusu mabadiliko ya mtoto wao.
Shukrani sana mkuu.!!Best comment ya huu uzi!! Big up saana!![emoji123][emoji123][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa..!!
Rekebisha hapo mkuu ni wife material,Nitasema kama mhe. JPM kwamba bahati mbaya umeishaolewa vinginevyo ningekuoa wewe ni husband material.
Umesema kweli kabisa!
Kweli aisee umeona hapo, si unajua chumba cha darasa nilikuwa rafiki kwa wachache some us are just imitating.Rekebisha hapo mkuu ni wife material,
Halafu sijaolewa bado usije nipeperushia ndege bure!! π π