mtakahela
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 801
- 1,268
- Thread starter
- #281
Mama yangu mdogo alimuamini baba mdogo kwa vigezo kama vyako ila leo ameisha juta na wametengana.
Wanawake mnaweza kuwa mnakosea.
umri haujawahi kumtuliza mwanaume lijali, bali wasio lijari au lijali waliokuwa commited.
Find a commited real man or an impotent one
Sent using Jamii Forums mobile app
Find a commited real man or an impotent one
Mstari huu nimeuelewa mkuu
Je m'mdogo alikaa na baba kwa muda gani !!