Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

SweetieLee,
kuna wanawake wana akili sana👏👏
hata mimi nina wasiwasi na maneno ya bi.dada njisi alivyo kuwa mkumbusha jamaa kuhusu majukumi yake hakutumia maneno mazur
wanaume hatupend kejel
 
mtakahela, Pole sana,jaribu kumtafuta then ujue sababu ya yeye kukaa kimya baada ya hapo fanya maamuzi sahihi lkn,4get about revenge cuz it's a dangerous motive
Pia,baada ya kuwa umezungumza nae na kupata muafaka jaribu kumshirikisha Mama mzazi na ikitokea umeamua kusitisha mahusiano basi kaa kwa muda bila kuanzisha mahusiano mapya!
 
Pole sana,jaribu kumtafuta then ujue sababu ya yeye kukaa kimya baada ya hapo fanya maamuzi sahihi lkn,4get about revenge cuz it's a dangerous motive
Pia,baada ya kuwa umezungumza nae na kupata muafaka jaribu kumshirikisha Mama mzazi na ikitokea umeamua kusitisha mahusiano basi kaa kwa muda bila kuanzisha mahusiano mapya!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashukuru mkuu, ahsante nitazingatia
 
SweetieLee ongeza sauti kdogo, wanawake wana mdomo sana wanapowasaidia wanaume zao.. Kila sku anasema alichokusaidia kila mtu atajua.. Pia mwanaume ukiyumba, mwanamke anakuwa na maneno maneno sana

mtakahela maneno yamekuponza, jamaa kajiongeza kuwa akifirisika utamdharau sana na atakosa faraja.
Haha.!
Sauti imetosha bwana Mr. Pierre!!
 
SweetieLee ongeza sauti kdogo, wanawake wana mdomo sana wanapowasaidia wanaume zao.. Kila sku anasema alichokusaidia kila mtu atajua.. Pia mwanaume ukiyumba, mwanamke anakuwa na maneno maneno sana

mtakahela maneno yamekuponza, jamaa kajiongeza kuwa akifirisika utamdharau sana na atakosa faraja.
 
kuna wanawake wana akili sana👏👏
hata mimi nina wasiwasi na maneno ya bi.dada njisi alivyo kuwa mkumbusha jamaa kuhusu majukumi yake hakutumia maneno mazur
wanaume hatupend kejel
Ndiyo, tunajisahau sana wakati mwingine!
 
😂 😂 😂
Ni ndoto yangu kuwa Mama Mchungaji.!
tufanye jambo tafadhali.
Hakika Mungu ni mwema, hufanya kila jambo kwa wakati wake kwasabau yeye huwa hachelewi wala hawahi. Naona mzigo wa kumtumikia Mungu ndani yako... ngoja niende pm
 
Ngwango,
Well said mkuu,
there's so much to learn on your entire message,
We have a long way to go and a very rough road to pass through!!
Patience is a dress that we're supposed to put on in a very situation,

But also there's huge difference between 'patience' and 'ignorance', don't mix the two.!!
 
Maisha yana tafsiri nyingi sana.matatizo huja wakati mwingine kwa faida ya mwenye kukutwa na matatizo husika hapo mi nachoona kuna mawili

1. Misiba imetokea ili huyo jamaa yako ajue uhalisia wako katika kujali shida zako yaani kiwango cha uvumilivu kilichopo ndani yako pindi apatapo shida. Pia muda wa matanga unatofautiana kutokana na desturi za jamii husika, inawezekana wewe uliona amekaaa sana msibani kumbe desturi zao huenda tokea msiba umetokea matanga yanachukua muda mrefu, pia kuna jamii ambazo matanga yanachukua muda mfupi sana .hivyo inawezekana alivyokupima wewe kwa hilo tu la msiba ameona hutaweza kumvumilia pindi atakapopata matatizo yanayofanana na hilo.

2. Inawezekana kabisa Mungu amekusaidia wewe kujua uhalisia wa mwenzako juu yako na maanisha inawezekana tayari ana mtu mwingine ambaye inawezekana hana hela kama ulizonazo wewe ila yeye anajali na kuheshimu hisia za huyo jamaa ikiwa ni pamoja na kushiriki matanga kwa kipindi chote tangu jamaa huyo alipofiwa. Huenda wewe uliamini kuwa msaada wa fedha unaompa unatosha kwa 100% kutokukuacha na huenda uliamini hawezi kutafuta mwanamke mwingine .wanaume wengi wanapenda uwajali na kuwaheshimu bila kujali uwezo wake kifedha mwanamke yeyote anayefanya hivyo matatizo ya ndoa yake utayasikia mara nadra sana nayo ni yale yanayovumilika na kutengenezeka.

Ushauri wangu ili uwe na uhakika na unachokifanya wasiliana na shangazi yake ujue uhalisia kabisa maana unaweza kulipiza kisasi kumbe mtu mwenyewe anahitaji msaada wako kuliko kisasi, panoja na kuwa hajibu sms zako wala simu cha msingi mtumie shangazi yake ili hata unapofanya maamuzi uwe umejiridhisha kwa namna zote.ila kuhusu kisasi hata mimi sikushauri kufanya hivyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kujua hilo jibu 😀😀 isijekua mambo ya Jafo kumsema mtu mpk anazimia
Mchumba sio wa kufanya nae mambo ya maendeleo kamwe.....eti mnafanya biashara pamoja, mara mmenunua kiwanja mkajenga 🤣 🤣 🤣 bora izo nguvu uzielekeze kwene orphanage centres
 
mtakahela,
Move on, usitafute mpenzi mpya kumkomoa, jipe muda pumzika na mapenzi kidogo ila endelea na mishe zako.
Kuwa na furaha, jipe raha.. akirudi mpotezee.
 
SweetieLee,
Aisee...hayo madini uliyotema natamani ningekua nimekuoa na tuna mabinti kadhaa, umekaa nao unawapa shule ya mahusiano.
 
mtakahela,
If you set out on a journey for revenge, dig two graves... Kama hupo tayari kushuhudia anguko lako mwenyewe, badi jitahidi u move on. You'll find another man. You'll love again. Pesa na mali tulizikuta hapa duniani na tutaziacha
 
Back
Top Bottom