Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Kitu gani baharia
kuna msichana tena yeye alikuwa denti bado wa chuo nilikuwa naishi nae kwangu kama mke na mme, kwa mda wa 2yrs mpka tukatambulishana kwa wazazi wake nilkujaga kuona ushenzi mmoja kutoka kwake nikamtupia virago familia yake pamoja na kuniomba sana msamaha niliishia kumla tena halafu nikaoa mwingine...

baharia hawezi kukimbia bila sababu
 
Hajaweka wazi.....na atakuwa kaliwa maana wanatafuta ndoa kwa nguvu zote

Hata nilewe kwa mapenzi vipi siwezi gawa jicho hilo la kwanza.
Pili ndoa siifosi maana hata kujitambulisha ilikua kwa mapendekezo yake kama nitaka kuonewa huruma ningeenda kwao kujibembeleza ili yaishe
 
kuna msichana tena yeye alikuwa denti bado wa chuo nilikuwa naishi nae kwangu kama mke na mme, kwa mda wa 2yrs mpka tukatambulishana kwa wazazi wake nilkujaga kuona ushenzi mmoja kutoka kwake nikamtupia virago familia yake pamoja na kuniomba sana msamaha niliishia kumla tena halafu nikaoa mwingine...

baharia hawezi kukimbia bila sababu
Nimekuelewa
 
Sikua cash madam, ila nilijua yeye ndio mwenzangu na matatizo hayana mmoja
Leo kwake kesho kwangu hivyo nilikua najidhiki nilichonacho nampa ili tufichiane aibu ndogondogo
Ni ngumu sana ku match na mwenza wako, kupata pea yako, hivyo unachokiona mwenzio hakioni, hanachokiona mwenzio wewe hukioni, ina maana kuwa huyo sio Mungu aliyekupangia, best revenge is to move on as sweetlee said above, on the way utapata wa kufanana nawe, you have a time.
Wenye broken wanasema
If you prepare for revenge, prepare two graves.
 
Kwa hyo mpaka sasa jimbo liko wazi halina m'bunge
 
Ni ngumu ndio... ndio maana wamesema " a strong woman".
Wengi wetu hatuwezi, tupo weak tukibembelezwa kidogo tunasamehe, halafu kosa linajirudia tena na tena...
Ila ukishakinai na kusema sasa nimechoka basi...
Hapo hamna mtu anakubabaisha kijinga tena (You become strong from Past experiences)
Story of my life.!!
 
Ni ngumu sana ku match na mwenza wako, kupata pea yako, hivyo unachokiona mwenzio hakioni, hanachokiona mwenzio wewe hukioni, ina maana kuwa huyo sio Mungu aliyekupangia, best revenge is to move on as sweetlee said above, on the way utapata wa kufanana nawe, you have a time.
Wenye broken wanasema
If you prepare for revenge, prepare two graves.
Ahsante Njopino
 
Yaan unahaki ya kucheka 😁😁 .yaan sa hivi baada ya kugeukwa ndio najiona boyaa
Maana hatukuandikishana
Ahahahahaha..pole sana...not neccesary kuandikishiana mana ulishakolezwa ukakolea but atleast u could play ur cards well..unacheza kwa step.
Mapenzi moyoni..akili kichwani...
Kila mtu acheze anakochezaga.
Ahahahahah
 
Nyumbani waambie alikufa kwenye mafuriko ya daslama. Hasira zote peleka kwenye kusaka hela, hapo utakua umemkomoa barabara! Abaki tu kukusema unadanga as if nae kodangio hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom