Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Pole sana bibie kwa maumivu uyapitiayo but ebu lipiza kisasi ili moyo wako uwe na amani
Sikua cash madam, ila nilijua yeye ndio mwenzangu na matatizo hayana mmojaJamaa hana bahati kweli.. anampata dem cash madam bado anamuacha kirais rais hivyo nimeamini upele humkuta asiye na kucha.
Sikua cash madam, ila nilijua yeye ndio mwenzangu na matatizo hayana mmoja
Leo kwake kesho kwangu hivyo nilikua najidhiki nilichonacho nampa ili tufichiane aibu ndogondogo
ni mtu wa dini na amekuzidi miaka mingiSasa kama simu hataki kupokea , tuongee tatizo ni nini nitajuaje kama mie ndio chanzo
Kwa kifupi alijipanga kufanya aliyonifanyia
Hata sio wa kwanzaCha msingi wew anza upya mbona wanaume tupo wengi sana. Kwani wew wa kwanza kutoa kipochi manyoya na usiolewe naye. Swali la uzushi hiv huyo ni boyfriend wako wa kwanza eeehhh yan hauna experiences na sisi wanaume? Na haujawahi face songombingo kama hizo.