Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Tulia usimtafute wala kumuuliza chochote akiendelea kuwa kimya anza kujipanga .akijirudi mwite akueleze ana tatizo gani ila mpige wakati huohuo mtishie kuwa umeshaamua kujipanga kivyako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe niamini tu.!
Emergency will itself sorted out.!!
@Sweetielee wangu hili dili nitamu sana kuaminika, kuna jibu la ukweli lenye fumbo umepewa sijui kama umeelewa "mlango wa uani"
Maana yake wewe utakuwa spare tairi shtuka
Usiachie funguo zangu zote ukimbilie ka funguo kamoja plz
Nakukabidhi funguo ya mlango wa uani ya mlango mkubwa nabaki nayo, in case of emergency

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unaweza ukawa ulimpenda mtu mpaka ukahisi dunia inakulemea
Ila ukija kumsahau utaona kawai
Naomba Mungu iwe hivyo dear
Maana kama kulia ninalia jaman na hivi toka zamani nina machozi ya karibu basi kila siku nina miwani ya jua kuficha macho
 
@Sweetielee wangu hili dili nitamu sana kuaminika, kuna jibu la ukweli lenye fumbo umepewa sijui kama umeelewa "mlango wa uani"
Maana yake wewe utakuwa spare tairi shtuka
Usiachie funguo zangu zote ukimbilie ka funguo kamoja plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshawithdraw hiyo statement. Nakushauri ukubali matokeo bro..
 
Just ignore him and go on with your life.Sometimes we win sometimes we loose.Holding into Grudges and hatred will take you nowhere. Naomba kipochi manyoya na mie pesa sina.
 
Back
Top Bottom