Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

mtakahela,

Pole sana ndugu...
Tafadhali sana, usije ukajaribu kufanya hicho kitu unachowaza cha kumuumiza huyu kibosile wako!
Huwezi kujua ni kitu gani kilichomfanya akawa hivyo, yawezekana ana stress nyingi tu au kuna tatizo kubwa limemkumba.

Kikubwa kwa kuwa unajua kwao, nenda ukutane na familia yake, watafutwe watu kama wawili wa karibu wakae nae pamoja na wewe aulizwe ni kitu gani kimemsibu au pengine hao watu tayari wanaweza kuwa na majibu!

Usiporidhika na majibu basi, ikiwezekana ingia ndani kwenye imani yako labda unaepushwa na jambo zito mbele yako!
Usichukue maamuzi ya ghafla utakuja kujijutia baadaye!

Take care.
 
Mimi bwana niko tofauti. Mtu ambaye sijamverify kwa vetting yangu simpeleki home piga ua. Kuna dada alinipenda nikampenda, akawa analazimisha nimpeleke home. Nikamwambia mimi sijawa katika position ya kukuoa bado so sioni haja ya wewe kwenda home wala mi kufika kwenu coz maswal yatakuwa mengi tunaoana lini. Nivumilie when am settled ...enhee akaona nachelewa she took her way....

Mimi kwa mazingira ya sasa simpeleki mtu home until nawaambia baba nataka kuoa na mchumba ninaye.....week ijayo ntamleta. Na mwezi ujao tupeleke posa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua tu ni kwamba wanawake mnaumia sana mnapo invest pesa zenu kwenye mapenzi halafu yasizae matunda. Mbona men tunachukulia kama kitu cha kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukari Yenu,
Kweli mkuu, kuliko hivi unampeleka X unakuja kuoa/ kuolewa na Y inakua sio powah
Naona nyie wanaume mna afadhali kidogo kwenye hili
 
Back
Top Bottom