Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Labda nikwambie tu uyo mwanaume atakuja kukutafuta na atakuomba sana msamaha hadi kulia ili arudiane nawe na anaweza kuja kwenu hadi kutoa mahari au kukuowa ili tu ushawishike kurudiana naye na wala si mbali mwaka ujao tu atajirudi ila nikwambie usije kujaribu kujirudi kwake mwanaume ni mdangaji kama wanawake wanavyofanya utapigwa pesa na mimba utabebeshwa na utaachwa kama ivi shukuru Mungu sna ajakuachia mimba ila ungeumia Mara mia zaidi pole sana ila usijiumize furahia kuondoka kwa uyoo mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu,
Ndugu zake wakaribu ninao wasiliana nao sana ni shangazi zake
Na pia sijawahi kuwadokezea kuhusu mabadiliko ya mtoto wao.

Haya mkuu kila la kheri ila kupitia huyo huyo shangazi utajua kama kabadilika kila nyanja ya maisha maana ukiwasiliana na shangazi mtu hatakuwa kama zamani


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Mh!
Njoo home tuongee humu hakuna anaeweza kushauri jambo wasilolijua pande zote mbili,
Staki na mm kusimulia ya upande wangu,
Hili jambo linanihusu Mimi na wewe,hivyo njoo tulimalize Mimi na wewe?
Ukizidi kulumu kumbuka kwanza uwajibikaji wako kwangu mtakahela,
 
SweetieLee,
Nitasema kama mhe. JPM kwamba bahati mbaya umeishaolewa vinginevyo ningekuoa wewe ni husband material.
Umesema kweli kabisa!
 
Rekebisha hapo mkuu ni wife material,
Halafu sijaolewa bado usije nipeperushia ndege bure!! 😂 😂
Kweli aisee umeona hapo, si unajua chumba cha darasa nilikuwa rafiki kwa wachache some us are just imitating.
Ndege huwa hapeperushi huruka na nyama yake.
Wanadamu kitu walishindwa ni kukaa wawili kwa amani.
Very few of the can live together with same love and peace till when they are old.
 
Back
Top Bottom