Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Pole sana, hayo mambo ya kushare miradi na mpnz, ukakope ili umpe yeye mi ndo huwa siyataki ,ni sawa sawa na kumsomesha mchumba mwsh wa siku anaolewa na mwngne

Piga moyo konde ,endelea na maisha yko ila jifunze icho kitu akilini....ni wachache sn watakuwa waaminifu ktk hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huhuhuhuh..! Nilijinasisha mwenyewe

"I will Mary when I want" (I think now I want). Karibuni ubwabwa early next year.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaaa!
Yaani nimefurahi, nataka kumpongeza personally 'muwezeshaji mkuu'..!!
Kadi ya mwaliko unajua wapi pa kunipata na inifikie barabara tafadhali sana.!!
 
Kweli aisee umeona hapo, si unajua chumba cha darasa nilikuwa rafiki kwa wachache some us are just imitating.
Ndege huwa hapeperushi huruka na nyama yake.
Wanadamu kitu walishindwa ni kukaa wawili kwa amani.
Very few of the can live together with same love and peace till when they are old.
Well said mkuu.!
Na ndiyo maana twapaswa kuzichanganya imperfections zetu ili kuitengeneza perfectionism..!!
 
Ushaliwa kila sehemu tulia jifunze kwa makosa uliyofanya mwanzo, mwanaume sio wa kushindana naye, yaweza kuwa pesa ulimpa akaenda kumpa mwenzi wake/mke wake wafanye mambo, hakukuwa na mapenzi apo IMEISHA IYO
Fuata ushauri huu hapa juu bibie. Umeaongea kwa hisia kali ila mtu mwingine hawezi kujua umeumiaje?. Mimi kama mzazi nimejisikia uchungu pia. Jitulize,huu ndio wakati wa kupanga mambo yako mengine. Wazazi wako waambie ukweli umetapeliwa,waambie hukujua. Watakuelewa. Wengi wamefanyiwa kama wewe.

Huwezi amini ukimsahau tu,kabisa bila kufikiria kisasi,MUNGU atakulipa mara mbili ya ulichopoteza. Halafu ukimsahau atakutafuta,hapo ndio majaribu. Usithubutu kumrudia,nawajua nyie wanawake utasahau utamrudia atakupiga tena. MUNGU akupe wepesi songa mbele usikate tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swet-R,
Atakuwa amepanic, ila azima yake ya kulipiza kisasi inaweza mfikisha pabaya, akubaliane na hali aanze upya maisha yake na ajifunze alipokosea
 
pujo,
Aliwai nichumbia kaka mmoja kiujumla ni ex wangu, baada ya kumaliza zile process na mahari ishapangwa kuletwa akaanza kuniambia saivi mi na wewe ni kiti kimoja tuchanganye vipato vyetu tufanye jambo moja🤣🤣🤣🤣🤣 my fulendi uchumba uliishia hapo baada ya kumpa jibu moja
 
Aliwai nichumbia kaka mmoja kiujumla ni ex wangu, baada ya kumaliza zile process na mahari ishapangwa kuletwa akaanza kuniambia saivi mi na wewe ni kiti kimoja tuchanganye vipato vyetu tufanye jambo moja my fulendi uchumba uliishia hapo baada ya kumpa jibu moja
kwa kweli mi siwez icho kitu, mume wangu nitafanya nae lkn mpnz hapn kwa kweli aniache tuu nibaki peke yangu, mn siku atakapoolewa mwenzio na kuwekwa kwenye nyumba uliyoitolea mkopo mwnyewe, hautakaa huamini...na la kufny huna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimpeleke mwanaume nyumbani katu abadan. Hili suala la kwamba ukamtambulishe, ukamtambulishe nini? Atume washenga wapeleke posa kwenu. Wakishakubaliwa familia na ukoo utamjua siku ya kulipa mahari.
Kweli mkuu, kuliko hivi unampeleka X unakuja kuoa/ kuolewa na Y inakua sio powah
Naona nyie wanaume mna afadhali kidogo kwenye hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said mkuu.!
Na ndiyo maana twapaswa kuzichanganya imperfections zetu ili kuitengeneza perfectionism..!!
Sweet Lee,
That is very correct, It is further said Relationship is a combination of two imperfect people.
Imperfection no 1. is the gender a female and a male. however, the traits differ you have to moderate them evenly to affirm the relationship. No 2 is adoptation each one has been adopted on her or his own way propelling to each and every kind of character, eventually after all this and other that we can't mention today, one needs to maintain the relationship with great care on a self awareness status.

The problem is, when relationship is at start there is true love and great respect, but when time goes and each has known the weakness of the other and that the true taste of love is no longer there this is where the junction is created even the treachery starts this is at a lengthy starting 7 - 10 years no one cares about the other unfortunately the woman thinks she is still in market.

When it goes to 15 years and above that is kubali yaishe it is amongst the few old age couples who successfully have crossed the ozone.

African relationship is entirely spoiled by crops especially women who tend to copy lifestyles of others without scrutinizing or comparing the possibilities of doing so.

People regret when it comes to age, if a man had just fucked his life during tender age when he is 50 he needs an assistance this is a covenant between God and human.

Life gets spoiled at this juncture and is late to adjust it.
So ladies I would advice you to form social educational groups to teach those who are arrogant or else say they don't care whether they find marriage potential, it is this is where you build a well built family.
Well said mkuu!

Na ndiyo maana twapaswa kuzichanganya imperfections zetu ili kuitengeneza perfectionism!
Sweetie Lee,
Kazi ngumu iko hapo sababu wanasema relationship is a combination of two impafect people.
Ndio sababu ndoa za watu waliozeeka pamoja chache.
Binadamu ni ibilidi sana.
 
Ni ngumu ndio... ndio maana wamesema " a strong woman".
Wengi wetu hatuwezi, tupo weak tukibembelezwa kidogo tunasamehe, halafu kosa linajirudia tena na tena...
Ila ukishakinai na kusema sasa nimechoka basi...
Hapo hamna mtu anakubabaisha kijinga tena (You become strong from Past experiences)
Love is strongest magic but again
love is weakness.

Women love for real, we, me don't
 
Maisha yana mambo mengi saana. Usikute unamlaumu hapa naye kule anamlaumu mtu mwingine.

Wanaume wengi wanaowaumiza wanawake walishaumizwa na wanawake fulani walichonacho kichwani ni wanawake walewale....tatizo kubwa zaidi hatuna utamaduni wa kuongea hisia zetu hili ni hatari saana maana nihisivyo na uhisivyo ni tofauti na hatuambizani.
Kwamba wewe unaweza mwambia mtu juu ya hisia zako? Hahaha hisia zangu najiambiaga mimi mwenyewe tu...
 
Maisha yana mambo mengi saana. Usikute unamlaumu hapa naye kule anamlaumu mtu mwingine.

Wanaume wengi wanaowaumiza wanawake walishaumizwa na wanawake fulani walichonacho kichwani ni wanawake walewale....tatizo kubwa zaidi hatuna utamaduni wa kuongea hisia zetu hili ni hatari saana maana nihisivyo na uhisivyo ni tofauti na hatuambizani.
Kwamba wewe unaweza mwambia mtu juu ya hisia zako? Hahaha hisia zangu najiambiaga mimi mwenyewe tu...
 
Tatizo lenu 'ke' mnadhani 'me' wanahitaji sana mihela yenu. Wanaume tunahitaji mno heshima na nafasi zetu kama viongozi kwenye familia/mahusiano. Inawezekana ulivokuwa unampa pesa zako ulikuwa unamsimanga kimtindo,mf awe mtafutaji,maisha magumu,asivuje pesa; pia ukawa unamlinganisha na watu wengine wenye nazo. Wanaume tunahitaji kubembelezwa na kupongezwa.
 
Pole sana, hayo mambo ya kushare miradi na mpnz, ukakope ili umpe yeye mi ndo huwa siyataki ,ni sawa sawa na kumsomesha mchumba mwsh wa siku anaolewa na mwngne

Piga moyo konde ,endelea na maisha yko ila jifunze icho kitu akilini....ni wachache sn watakuwa waaminifu ktk hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nimepata fundisho la maisha
Sitakuja kufanya kosa hili tena
 
Aliwai nichumbia kaka mmoja kiujumla ni ex wangu, baada ya kumaliza zile process na mahari ishapangwa kuletwa akaanza kuniambia saivi mi na wewe ni kiti kimoja tuchanganye vipato vyetu tufanye jambo moja🤣🤣🤣🤣🤣 my fulendi uchumba uliishia hapo baada ya kumpa jibu moja

Natamani kujua hilo jibu 😀😀 isijekua mambo ya Jafo kumsema mtu mpk anazimia
 
Mkuu mtakahela mie sina cha kukushauri sema hapo kwenye 'kipochi manyoya na kipochi mahela' umenifanya nicheke kwa sauti mbele za watu.
 
Back
Top Bottom