Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Nimecheka sana hivyo " vipochi" vimeliwa double double. Hivi mnaanzaje kuaminiana kijinga jinga namna hiyoo.When it comes to funds aisee kwann umekua naive kiasi hicho..Bora uingizwe mjini na kijana mwenzio angalau unaweza jioa sababu kuwa kakuzid ujanja.

Sasa huyo mzee kukuzidi umri tu ilikua sababu yosha ya kucheza nae kwa step. Halafu wewe ndio ilibidi umpige pesa sio yeye akuingize mkenge wewe.

Ahahahahahahahahahah
 
Just ignore him and go on with your life.Sometimes we win sometimes we loose.Holding into Grudges and hatred will take you nowhere. Naomba kipochi manyoya na mie pesa sina.
Tafuta pesa ndio uje kupata kipochi manyoya
 
Inasikitisha mkuu, dada wa watu kajitumaa weee halafu anaachwa hivi hivi akikumbuka "fck me beibe alizozitoaga hasira zinamjaa"
Nimecheka sana hivyo " vipochi" vimeliwa double double.
Hiv mnaanzaje kuaminiana kijinga jinga namna hiyoo.When it comes to funds aisee kwann umekua naive kiasi hicho..Bora uingizwe mjini na kijana mwenzio angalau unaweza jioa sababu kuwa kakuzid ujanja.
Sasa huyo mzee kukuzid umri tu ilikua sababu yosha ya kucheza nae kwa step.
Halaf ww ndio ilibid umpige pesa sio yy akuingize mkenge wewe.
Ahahahahahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SweetieLee,
Leo umenena,tena umenena haswa

Japo umenichanganya siku mbili tatu hizi

na picha mpya hapo juu,Sijaizoea kabsa ila

sio mbaya ntayapa macho mazoezi yataizoea tena.

Ukibadilisha tena nakuzibua Wallah tusichanganyane.
 
Nimepitia uzi huu kila nukta na nimepata maelezo ya mtakahela. Kitu ambacho huwa mabinti wengi wanakosea ni ndimi zao/kauli zao kwa wanaume wanaokuwa kwenye Mahusiano nao.

Ukitaka mwanaume awe nawe kuwa makini unaongea nini na kwa wakati gani na pia chunga kuropoka neno baya pale pindi mnapotofautina. Tofauti na hapo mtaachiwa manyoya tu.
 
Ushaliwa kila sehemu tulia jifunze kwa makosa uliyofanya mwanzo, mwanaume sio wa kushindana naye, yaweza kuwa pesa ulimpa akaenda kumpa mwenzi wake/mke wake wafanye mambo, hakukuwa na mapenzi apo IMEISHA IYO
Hadi jicho kaliwa ?
 
Back
Top Bottom