heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
12 years a slave..Solomon akilazimishwa amcahape mijered mtumwa mwenzake
"Lupita" pia Solomon alipookolewa utumwani baada ya miaka 12 na kukuta familia yake imeongezeka..
kakuta njemba mwingine kaoa mke wake.sikulia lakini ilinitia simanzi sana