1. [SIZE=3 said:Marley and me
[/SIZE]...hii nilivyoangalia mara ya kwanza baada tu ya kuisha nikaingia zangu chooni kujifungia ili nifute machozi maana tulikuwa tunaangalia watu wengi..kila mtu alinyanyuka kivyake ofcoz so sijui wengine kama nao walilia au la..
2. Pursuit Of Happiness
...nilijikuta tu machozi yanandondoka mwenyewe wakati muvi inaendelea..
3. Hatchiko the Dog Story
...inatia huruma sana hii..
4. Armeggedon
...ni SCI-FI movie ila pale mwisho chozi lilitoka kimtindo..
5. JOHN Q
6. Rango (Animation)
...hii machozi kwa kucheka...very touching ila inachekesha balaa..
7. Black Hawk Down
8. Blood Diamond
...hizi ni baadhi ya nnazozikumbuka harakaharaka...ningependa kuonza na nyingine zaidi ya hizi kwa msaada wenu..
Hatya.. Sina uhakika na spelling ya title.Ni ya kihindi ya zamani sana. Actor 1 anaitwa Govinda,Raja.. Kwa kwl iliniliza kipindi kile,may be kwa sababu ya utoto.
Muvi gani seriously ulijikuta unatoa machozi (wakati unaiangalia au baada ya kuiangalia) kutokana na uhalisia wake kukugusa sana moyoni...achana na ile umeingalia ikakugusa na kuikubali tu kwa kuwa ni nzuri...NO..ILIYOKUTOA CHOZI!!
Sina uhakika kama hii topic ilishawahi jadiliwa humu maana nimejaribu ku search ila sijapata ninachokitaka..
Kwa upande wangu mimi ni hizi..
1. Marley and me
...hii nilivyoangalia mara ya kwanza baada tu ya kuisha nikaingia zangu chooni kujifungia ili nifute machozi maana tulikuwa tunaangalia watu wengi..kila mtu alinyanyuka kivyake ofcoz so sijui wengine kama nao walilia au la..
2. Pursuit Of Happiness
...nilijikuta tu machozi yanandondoka mwenyewe wakati muvi inaendelea..
3. Hatchiko the Dog Story
...inatia huruma sana hii..
4. Armeggedon
...ni SCI-FI movie ila pale mwisho chozi lilitoka kimtindo..
5. JOHN Q
6. Rango (Animation)
...hii machozi kwa kucheka...very touching ila inachekesha balaa..
7. Black Hawk Down
8. Blood Diamond
...hizi ni baadhi ya nnazozikumbuka harakaharaka...ningependa kuonza na nyingine zaidi ya hizi kwa msaada wenu..
https://www.jamiiforums.com/entertainment/289079-which-movies-make-you-cry-or-feel-so-sad.htmlWadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda
My sisters keeper(my sadiest movie ever)
John Q(a poorest man struggle to help his son, inauma)
Note book(touching love story)
The Boy in the Striped Pajamas
Hachiko: A dog's story(must watch this, so sad)
My sassy girl(korean film, a must see)
Good Dees(sijui kwanini machozi yalinilenga kila mara kwa mapitio aliyopitia Lindsey)
Ps I Love You(hakikisha una kitambaa pembeni)
The Perfect storm
Armaggedon
A Walk to Remember(a very touching movie)
Alive(Never cried but feel so sad)
Titanic(mara ya kwanza kuoina niliwaga chozi mwishoni jack alipokufa, hate that ending)
je nimovies gani ukiangalia inakusikisha sana kama sio kukumwaga machozi so I can find and watch,
I love sad movies