Not without my doughter imechezwa na Sarah field Mmarekani aliyeolewa na Muiran wakiwa hukohuko Marekani. Baadaye Muiran akarudi kwao yeye na familia yake ya mtoto mmoja.
Kufika kwanza uwanja wa Ndege anakutana na Askari wanaolinda maadili ya kidini 'Mutawa', na kutaka kumkamata kwa sababu amevaa kichwa wazi (tofauti na desturi za Kiislam). Kimbembe alipofika nyumbani na kwa bahati mbaya Ndugu wa Mume wakawa hawampendi. Na zaidi ya hapo wakaanza kumuona kikwazo kwa Kaka yao kwa sababu kun wakati badala ya kuamka na kuswali Swala ya adhuhuri yeye anapiga mbonji.
Hapo kivumbi kikaanza ndugu wa mume wakimtuhumu Mkwe na zaidi ya hapo na manyanyaso yakaanza pia kutoka kwa Mume, ndipo akapanga mpango wa kutorokea ubalozi wa Marekani akisaidiwa na baadhi ya Wairan vilevile.Ilikuwa hatari kweli..........!
Endelea kuitazama..........................
NB: Hii filamu ilipigwa marufuku Iran.