Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Kuna watu hata za majuto watalia Humu visa kweli forum.
 
Dah!hii movie niliiona wakat nko kwny basi fron moro to dar aisee ni bonge la movie

Ndgu mimi simuumini wa Movie zakibongo 7bu upuuzi mwingi wanafanya bt hii inayoitwa BADO NATAFUTA nimeiona juzi nilikuwa kwenye RATCO yakwenda Tanga HONESTLY ikafika mahari nikatoa kitambaa CHINGA JAMES amebeba ile MOVIE kwa mara ya kwanza nimeahidi kununua na MOVIE yakiBONGO bado natafuta Chinga kafunika sana! HONGERA kwake!!
 
Kal Hoo Nahoo sina hakika na spelling bt actor ni Sharuh Khah ya kihindi!
 
The impossible
Ya familia iliyokwenda kula raha wakakutana na Tsunami
 
Capten Philip kule mwishoni alipokuwa anagangwa na nesi.....hakika yalinidondoka
 
Kal ho naho na my name is khan!!! Hizi nliziangalia mwaka jana mwezi wa 12!!!
Sio siri movie ya my name is khan ilinitoa chozi!! Sikuamini...
 
Kal Hoo Nahoo sina hakika na spelling bt actor ni Sharuh Khah ya kihindi!

Uko sahihi mkuu!! Sasa katafute yake nyingine inaitwa MY NAME IS KHAN ...alafu ulete feed back!!
 
Ntaitafuta mkuu@Lordville. Jamaa anajua ku-act sana kwa kweli!
 
Ritter plays Ed Chandler, a father who is fired from his job for taking time off to tend to his 16 year daughter Missy (Chlumsky), who is battling cancer. Rather than accepting his dismissal, Ed decides to fight back. With the help of a United States senator, he lobbies the United States Congress and is the stimulus to passage of the Family and Medical Leave Act. Because Missy's cancer is terminal, she is visited by the Make-A-Wish Foundation and she wishes to go to the White House and visit the Oval Office and hopefully see President Bill Clinton himself. Although Make-A-Wish is not so sure if they can grant her wish, in the end she does in fact get to visit the Oval Office and meet President Clinton himself in a surprise cameo appearance.
Missy is based on the merging of two women, Melissa Weaver and Dixie Yandle. Ed Chandler's character is very closely related to George Yandle, who with his wife Vicki, helped push the Family Medical Leave Act through Congress. Both George and Vicki were on stage with President Bill Clinton (who in the movie plays himself in a cameo appearance) when the new law was signed
 
1. EPA staring Balali
2. Richmond staring EL & JMK
3. Madawa ya kulevya staring Liz & mdhamin mkuu wa chama
4. Operation tokomeza ujangili staring Nchimbi na wenzie
5. nk
Zote hazijatoka ila trailer zake znanitoaga machozi

kweli sikujui.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom