Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Tom & Jerry, Nikiangalia lazima machozi yanitoke kwa kucheka.
 
1. Sometimes in April.....inahusu Rwandan Genocide back in 1994

2. The Patriots....imechezwa na Mel Gibson....inahusu the USA freedom war(niliiona back in 2004 na nakumbuka phrase moja....my soldiers are excellent marksmen....)
 
3 ****** pale vijana wenzake wanapopata kazi na wanapojiua, neria na mv ya Nigeria ya jamaa kwenye kachupa akaacha watoto kina junior

suicide mission ndo ilyofungua mlango kwa movie za kinijeria hapa
 
Perfect Storm inaliza hasa pale ambapo jamaa wlidhani wameserve kutoka kwenye mawimbi makali likaja lile la mwisho na kuwafunika kabsa
 
kama mnataka kulia tafuta hizi
SHOOTING DOGS na
FOR COLORED GIRLS
 
Blood diamond,
the family that prey,
apocalypto
na indian moja inaitwa ganster love,
 
african dream,waliact kipind cha kombe la dunia inahusu ukimwa...it sadest 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom