Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Kuna moja inaitwa "My name is Khan"
Mimi hua ni mgumu kulia, kwa hiyo sikulia ila angalau ilileta reaction flani moyoni kwa mara ya pili tokea "The pursuit of happiness" na "BraveHeart"
 
Bado natafuta hasa part II yake, aisee yule jamaaa alie 'act' lafudh ya kimakonde amejitahidi sana!
 
Nigerian movie ( who loves Me)Majid Michel & Jacky Apiah

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Dah!hii movie niliiona wakat nko kwny basi fron moro to dar aisee ni bonge la movie

Ukimwacha marehemu Kanumba huyu ni msanii mwingine ninaye mkubali,katika movie hiyo ametumia Jina la James
 
MISUKO SUKO PART 7 a..b..c Ilinitoaga machozi pale arnold vuga alipo mdedisha mzee magariiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom