Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Kama hii movie ilikotoa machozi then utakua na tatizo la macho mkuu!au uliitazama huku unamenya kitunguu?

mkuu namaanisha picha aliyohuzunisha sio lazima kulia ila kwani hii picha sio ya kusikitisha kwali imagine imekutokea katika real life?
 
Tears of the son. Pale yule msodaa wa kimarekani alisema God has already left Africa. Nilijikuta natokwa na machozi.
 
Not without my doughter imechezwa na Sarah field Mmarekani aliyeolewa na Muiran wakiwa hukohuko Marekani. Baadaye Muiran akarudi kwao yeye na familia yake ya mtoto mmoja.

Kufika kwanza uwanja wa Ndege anakutana na Askari wanaolinda maadili ya kidini 'Mutawa', na kutaka kumkamata kwa sababu amevaa kichwa wazi (tofauti na desturi za Kiislam). Kimbembe alipofika nyumbani na kwa bahati mbaya Ndugu wa Mume wakawa hawampendi. Na zaidi ya hapo wakaanza kumuona kikwazo kwa Kaka yao kwa sababu kun wakati badala ya kuamka na kuswali Swala ya adhuhuri yeye anapiga mbonji.

Hapo kivumbi kikaanza ndugu wa mume wakimtuhumu Mkwe na zaidi ya hapo na manyanyaso yakaanza pia kutoka kwa Mume, ndipo akapanga mpango wa kutorokea ubalozi wa Marekani akisaidiwa na baadhi ya Wairan vilevile.Ilikuwa hatari kweli..........!

Endelea kuitazama..........................

NB: Hii filamu ilipigwa marufuku Iran.

Dah kweli tam lazma niitafute hii na mimi nilie
 
temptation....ilio andaliwa na tyler perry.
 
The notebook.....its romantic and very touching.....it gives me strength to believe in love.
And also Titanic,dear John,Neria and sweet november.
 
Sarafina wanafunzi walipouwawa especially pale jamaa mwenye kiduku alipopigwa risasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom