Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

  1. Rules of engagement - Samwel Jackson
  2. Unthinkable - Samwel Jackson,
  3. Pursuit of Happyness
  4. My Brother
  5. Machine Gun Preacher
  6. Blood diamond
  7. Full Metal jacket
  8. Restriction Order - Robins Given
 
24 hrs episode ya mwisho kabisa Jack Bauer anampa maagizo Cloe ili amuangalie mwanae Kim.,
 
disco dancer ya kihindi hii, nilikuwaga naangalia enzi hizo nikiwa mdogo.
 
duh..jamaa wewe mkorofi!!
vyote pamoja...teh!huku raha,utamuu huku huzuni..
kwani wewe hukusikitika???

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha da we mbayaaaaaa.....ila ndo mpango majonzi alafu baadae unajiconsole kwa raha kidogo
 
Na hii pia HUMBERG HILL sijui kama nimepatia spel ukiiangalia hii halafu kesho unakwenda kwenye usaili wa kujiunga na mafunzo ya jeshi utaahirisha na kukimbia.
 
Blood sister
Not without my daughter
escape from sobibor
prey
shooting dogs
 
Hapo ni Pursuit of Happiness,
nyingine ni Hotel Rwanda, This time in April na Sarafina especially coz they were true stories
 
Glory ya Denzel na Morgan freeman pia movie moja niliangalia siku nyingi sana kwenye vhs nikiwa member wa twiga video library pale namanga inaitwa rescue jesica....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom