PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hamna jambo ambalo State power inashindwa kufanya hapa Africa usijipe matumaini ya bure....kama raia zaida ya 1000 wanauliwa na kila kitu kinakua normal sembusa kufuta usajili wa TEC.
Sasa wanasubiri nini KUFUTA??
 
Waziri wa Afya ni MOHAMED MCHENGERWA MKAZA MWANA wa SAMIA.

Leo ni JUMATANO, siku ya KAZI.

AFUTE hata muda huu
 
Ikafanye nini huko ndugu Maalaria?
 
Ni CHEAP halafu SHULE hakuna.


Ukiwa na MILIONI MOJA wanakufanyia PROPAGANDA unavyotaka.
 
Hilo lazima lifanyiwe kazi hasa katika kipindi hiki ambacho hatutarajii mikopo kutoka nje, hizo hospital zao zijiendeshe zenyewe hayo makubaliano yanayotekelezwa kwa sasa ni wizi wa pesa za umma.
 
Hilo lazima lifanyiwe kazi hasa katika kipindi hiki ambacho hatutarajii mikopo kutoka nje, hizo hospital zao zijiendeshe zenyewe hayo makubaliano yanayotekelezwa kwa sasa ni wizi wa pesa za umma.
Kitu pekee serikali inaweza kufanya ni kufuta msamaha wa VAT pamoja nakuondoa watumishi wake.

Pesa serikali HAITOI.

Zinatoka UJERUMANI.
 

Mbona hata Muhimbili, kama huna pesa hutibiwi?
 
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).

Ni muhimu ungezungumzia pia makandokando ya suala lenyewe.

Ni kwamba Mwaka 1969 Rais Nyerere (Mkatoliki) alitaifisha hospitali na shule za makanisa, zikiwemo hospitali ya Bugando (Katoliki); hospitali ya KCMC (Lutheri); shule ya St Mary's ya Tabora (Katoliki) ikaitwa Milambo; Shule ya Pugu (Katoliki); shule ya St Joseph ya DSM (Katoliki) ikaitwa Forodhani; na Shule ya St Andrew's (Anglikana) ikaitwa Minaki. Kutaifishwa huko kulishinikizwa na Waislamu, na hakukuwa na fidia ya hata senti moja, tofauti na utaifishwaji wa nyumba za watu binafsi ambako kuliundiwa shirika la Msajiri lililohusika, mbali na mengineyo, na kulipa fidia.

Shule na hospitali nyingi zilizotaifishwa zilikuwa za makanisa ya Kikristu. Waislamu hawakuwa na shule au hospitali ya maana ya kutaifisha. Hapo hapo, ikumbukwe kwamba hospitali na shule hizo, kabla ya utaifishwaji wake, zilikuwa zikihudumia watu wote bila kujali dini ya mhusika. Shahidi ni Yusufu Makamba (Baba yake na Januari) aliyesoma shule ya Anglikana ya Minaki.

Miaka 20 baada ya utaifishaji huo, Serekali ya Rais Mwinyi (Muislamu) iliona gharama ya uendeshaji wa shule na hospitali hizo ni juu mno. Hivyo ikarudi kwa makanisa kuomba msaada. Hapo ndipo makanisa yakasema kunahitajika maelewano maalumu ya kuendelea kuendesha shule na hospitali hizo. Mchakato huo ndio ukazaa mkataba unaouzungumzia. Serekali ndiyo iliyoyafuata makanisa. Makubaliano yakawa makanisa yarudie kuendesha taasisi hizo wakati Serekali itakuwa ikitoa mchango kiasi fulani.

Kulikuwepo pia shule za binafsi chache zilizotaifishwa. Kwa mfano shule ya Galanos ya Mgiriki mlima mkonge, ambayo nadhani ilikuja kuitwa Ihungo. Mgiriki alipofariki aliiacha shule chini ya taasisi iliyoendelea kuifadhili. Mwaka uliofuatia kubadilishwa kwa jina la shule, Tasisi huko Ugiriki iligoma kuendelea kuifadhili shule hiyo kwa kuwa ufadhili wao ulikuwa kumuenzi Galanos aliyeianzisha. Hivyo, jina jingine lo lote halina maana kwao. Serekali ikakubali kurudisha jina la Galanos mpaka baadaye jina lilipokuja kubadilishwa tena na ufadhili ukakoma.
 
mpaka leo hii hospitali nyingi za wilaya ambazo ni za serikali hazina lolote na rufaa zao wanapeleka hospitali za DDH za catholic
Hapa nakubaliana nawe mkuu.
 
Hata ukifungia huduma watakao umia zaidi ni WANANCHI tena wana CCM haswa .
Nchi nzima Waislam hawana chuo kikuu cha udaktari wala hospitali kubwa yoyote
Tuitoe hiyo mou Kila mtu akatibiwe na kusoma pale anapotoa sadaka ?
Miezi miwili tu vilio vitakuwa vingi
 
Ila nchi zinazoongoza kwa ushoga ni nchi za kiislamu , mfano tu Dubai karibia Kila mwanamke hana marinda
 
Kitu pekee serikali inaweza kufanya ni kufuta msamaha wa VAT pamoja nakuondoa watumishi wake.

Pesa serikali HAITOI.

Zinatoka UJERUMANI.

WangejuA wakatoliki wanavoombea huo muungano ufe , maana itabidi tuanze kuajiri wakatoriki mpaka mashuleni, imagine batch ya wanafunzi wa kiislam ikiondolewa pale saut
 
Waislamu wanaopiga kelele hawana chochote ndani ya nchi hii wanachozakisha zaidi ya kuuza dawa za kisuni na alkasusi
 
 
WangejuA wakatoliki wanavoombea huo muungano ufe , maana itabidi tuanze kuajiri wakatoriki mpaka mashuleni, imagine batch ya wanafunzi wa kiislam ikiondolewa pale saut
Si lazima kuondoa.

MoU ikifa gharama zitapanda, maana hakutakuwa na msamaha wa kodi.
 
Reactions: vnn
Masheikh wa BAKWATA hawawezi kuongelea hili sababu watakuwa wanaikosoa CCM na serikali yake
 
Alhamdullilah umeandika vizuri sana,na huu ndio ugomvi wa waislamu na masheikh wa BAKWATA,wao hawataki kuibana serikali ili waislamu tupate haki zetu kazi kuongopa tu mara TEC wamezuia mahakama ya kadhi,mara TEC wamezuia OIC huwa najiuliza kwani TEC ndio serikali?
 
Hahaha wakatoliki hoi hakuna janja janja tena. Nyie si mnasema watu wa haki? Haki hiyo irudishwe bungeni wabunge waipitishe au waikatae, hakuna kificho tena.

Hongera kwako mleta mada
Kama ukijua BAKWATA hawawezi kudai haki hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…