"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

Jamani, who really cares kama Mengi kaoa au hajaoa? This is so ridiculous now.....

It is him (Mengi) who cares about it. We don't. Ndio maana anakupa kulia lia kwenye public akitafuta public sympathy kama kawaida yake!

Kwanini hafafanui kwamba zile picha zilikuwa sio za ndoa bali ni za sherehe nyingine? Kuoa kuna ubaya gani? Na hilo gazeti lililoandika hiyo habari na kuambatanisha na picha kwanini asilishtaki mahakamani kama hiyo habari ni ya uzushi?

Haya mambo ya kuoa baadhi ya watu kwenye jamii kama malaika ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo. Nchi karibu zote zilizoendelea wanaheshimu sana familia, na ukiwa na vimada kamwe huwezi kuwa kiongozi!

Kama ukishindwa kumudu misuko suko ya ndoa yako, utawezaje kuhimili misukosuko ya nchi nzima ukiwa kama kiongozi? Nawasikitikia sana hao wanaomshangilia Zuma wa South Africa kwamba anafaa kuwa Rais wao wa baadaye!
 
right to privacy anayozungumzia mengi ni ipi? mbona gazeti lake la taifa letu linaandika privacy za watu wengine...mfano karamagi!!!!!
 
Mkuu nakubaliana nawe 100% what i can see Invisible is playing a big part kwa mzee Mengi......akiwa pembeni na mpambe mwanakijiji
Na hii inamhusu nani mkuu? Think of it...

Ile hoja ya masuala ya mapenzi na picha ambazo hatukuwa na hakika nazo zilikuwa kwenye blog inayohusiana na 'ufisadi wa mapenzi' (siitaji ushaijua) hivyo tukaonelea heri wao wacheze part yao.

Hii imekaa politically, you play your cards...!
 
Jamani hebu nisaidieni. Hivi Zain, Vodacom na Pepsi ni mali ya Mengi? Hebu ni hakikishieni kuwa magazeti haya mapya ni ya Mengi.
 
Mzee Mengi anadhani MAADUI wake ni MAFISADI tu. Hajui kwamba masikini wasio na kitu ni maadui wake pia. Ajitolee siku moja aseme wazi mali alizonazo alizipataje.
 
mengi na wote anaolumbana nao ni watu maarufu na wana influence ya aina fulani katika jamii yetu, lakini inavyoonekana ni kwamba wanataka kutumia vibaya umaarufu na influence zao
lakini tukiangalia kiundani kuna mataizo mawili makuu ninayoyaona
1. taaluma ya uandishi hakuna kabisa, kwa kweli hii imepotea, na kama mengi anawalalamikia mafisadi, basi na yeye kwa hili hatuwezi kuwa na imani naye kwa nini anawalazimisha waandishi wake kuandika habari ambazo yeye anazitaka na zilizo kwenye mlengo wake, kama mtu kweli kasomea taaluma na anajua miiko ya taaluma yake awezi kugeuka bila njia mbadala(fedha) kutumika, mimi nao nauita ufisadi na kwa kweli huu ni moto mbaya, hakuna watu hatari kama waandishi wa habari(hata maandiko yamesema), hebu angalia mauaji ya Rwanda ni vyombo vya habari na waandishi wachache ndio waliochangia kwa asilimia kubwa yale mauaji

2 nadhani watanzania pia tumekuwa wavivu wakuchambua mambo kwa sababu inaonekana kinachoandikwa ndio tunachokipenda, magazeti yasingeuzika kama kinachoandikwa kingekuwa akitufai, tunapewa kile tunachokitaka
hayo ni mambo ya udaku na umbea wa uswazi, mara mtu kaoa, mara kafumaniwa, mara kamsuta mtu,mara ndoa ya mkeka vitu ambavyo havina maana kabisa kwa maendeleo ya taifa
kwa kweli mengi na wapinzani wake watatufikisha pabaya kama hatutakuwa makini, wakuweza kuchambua mambo na kuona ukweli bila kuwa na upande
 
Mzee Mengi anadhani MAADUI wake ni MAFISADI tu. Hajui kwamba masikini wasio na kitu ni maadui wake pia. Ajitolee siku moja aseme wazi mali alizonazo alizipataje.

aliomba kura lini hadi atangaze alivyopata mali zake!? Na kwanini kati ya wafanyabiashara wote Tanzania yeye ndiyo unamuwekea kipimo hicho, unless una maana wafanyabiashara wote! Huwezi kuwa na selective justice!

Oh well, it is Mengi so there is a different standard. Kosa lakenini utajiri?
 
wakati fulani niliongea na baba yangu aliniambia kwamba kenye miaka ya 80 mengi alikuwa anauza peni yeye na mke wake pamoja na watu wengine wa kenya sasa kuna mchezo ukachezwa wale wakenya wakaondoshwa ndio mwanzo wao hapo --- ila anashangaa toka wakati ule akapotea akaja kuibuka miaka ya 90 nae achunguzwe
 
aliomba kura lini hadi atangaze alivyopata mali zake!? Na kwanini kati ya wafanyabiashara wote Tanzania yeye ndiyo unamuwekea kipimo hicho, unless una maana wafanyabiashara wote! Huwezi kuwa na selective justice!

Oh well, it is Mengi so there is a different standard. Kosa lakenini utajiri?

Anapowaita wenzake MAFISADI aseme yeye alifanya biashara gani nchi hii hadi akawa hivyo alivyo. Vinginevyo yeye alitangulia kabla wanaofuata nyayo zake anawamulika kwa bidii!
 
jamani hebu nisaidieni. Hivi zain, vodacom na pepsi ni mali ya mengi? Hebu ni hakikishieni kuwa magazeti haya mapya ni ya mengi.

umeshwahi kushangaa kwanini matangazo ya vodacom itv ni machache siku hizi kuna sababu maalumu na rostam wao -- kuhusu zain kuna watu mule ndani wanaohusiana na utangazaji ni washkaji wa regina kwa saana wanapeana matangazo
 
Pamoja na yote haya tunayoongea hapa ukumbini mwanzilishi wa yote haya ni yule dada lilian kimaro inayesemekana ameolewa na mengi kwa kuwa anafanay kazi brella atakuwa amechangia kwa kiasi kikubwa katika kutoa siri za baadhi ya makampuni kwa magazeti ya mengi kutokana na nafasi yake katika brella nae achunguzwe na achukuliwe hatua kali za kisheria
 
Mengi ana watu kila kona nyeti ya nchi hii hadi ndani ya vikao vya Baraza la Mawaziri. Tusimwonee binti wa watu Lilian.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 114 (29 members and 85 guests)
Ngongo, Belo, chechenya, FDR.Jr, Fidel80, Heri, Iteitei Lya Kitee, Jilunga, Jmpambije, Kagoma Kuwika, Kijunjwe, Madaha, majikoga, Malunde-malundi, Masaki, Mburahati, MwakyJ, Mwanafunzi, Njimba Nsalilwe, Nurujamii, Nyani Ngabu, share, tofty, TreasureFred, Wakuja, wanguwangu, WildCard

Duh tuko wengi
 
Hapana haya yote yanayoendelea na yeye ana mkono wake katika kufanikisha adhma ya mengi katika kuchafua watu na kampuni zao kutokana na nafasi yake hapo brela ndio maana hata amepewa offer ya ndoa haiwezekani hivi hivi tu kuna kitu lazima lilian lazima awajibishwe
 
Soooo ur supportin uchungu....safi...

Mwanakijiji naona mengi kakuongezea dau...mwaka huu lazima ujenge.....

Zile picha ziliwekwa hapa soon zikafichwa sijui ziko wapi?

.....i know Mengi saaana tena saaana.....mara kibao mzee huyu hana haya nabambana nae kona anamega totozi.....

.....Mengi unakumbuka 002/oo3 na yule toto la kiarabu anaanziwa na herufi Z...a. u knw what? ulinikera saana

huyu mzee yeye kila siku ni mtu anaeonewa tuuu yeye na sauti yake ya kipole unaweza kufikiria kweli...

Yo yo.... alikuwa anakumega zamani sasa akakukacha nini?? Otherwise nashangaa unalalamikia nini??? Uhusiano wake na wanawake au???
 
Jamani wakuu huyu mengi c ni kweli ameoa hata picha zake na huyo binti ziliwekwa hapa!!!!sasa anakanusha nini?
 
Mimi nikiamua kusoma udaku nasoma kwa burudani tu. Napembua pumba na mchele. Sasa kama wapo ambao wao huchukulia udaku kama taarifa ya habari za uhakika hilo ni juu lao.

Ninachojua ni kwamba hata iweje udaku hauwezi kupigwa vita. Ulikuwepo, upo, na utaendelea kuwepo.

Nakumbuka sana stori za Mchonga na kifimbo chake....nakumbuka sana stori Mchonga kuwashikisha watu ukuta na kuwacharaza mboko, mmojawapo akiwa Cigwiyemisi Malecela..lol.....huo haukuwa udaku

Au stori za Mwinyi kutoka na binti aliyekuwa akisoma Jangwani Sekondari....


Ndugu yangu, jitofautishe na watanzania walio wengi, jitofautishe ulivyo na ulipo!!!. Walio wengi hawajaandaliwa kutofautisha pumba na mchele kama wewe!!!

Kwao udaku ni kichocheo cha maangamizi ya wao kwa wao!! Rejea mauaji ya Albino, Vikongwe na watoto wachanga wanapong'olewa gums na kuvuja damu sana hivyo kupoteza maisha. Gums huvumishwa kuwa ni wadudu!

Sisi bado baki navyo huko huko Ulaya!!!
 
Soooo ur supportin uchungu....safi...

Mwanakijiji naona mengi kakuongezea dau...mwaka huu lazima ujenge.....

Zile picha ziliwekwa hapa soon zikafichwa sijui ziko wapi?

.....i know Mengi saaana tena saaana.....mara kibao mzee huyu hana haya nabambana nae kona anamega totozi.....

.....Mengi unakumbuka 002/oo3 na yule toto la kiarabu anaanziwa na herufi Z...a. u knw what? ulinikera saana

huyu mzee yeye kila siku ni mtu anaeonewa tuuu yeye na sauti yake ya kipole unaweza kufikiria kweli...

Hivi yeye kuwa tajiri na umaarufu mwingine kunamuondolea ubinadamu? Nitajie msafi kwa hili, wewe ni mmojawapo.

Na asiyefanya amrushie jiwe mzee wa watu. Tuwe pamoja naye kwa vita ya wala Rushwa. Hayo mengine tutakutana mitaani.
 
Mzee Mwanakijiji,

Trust me, Mwanakijiji sisi wote tumepitia Uhuni lakini ktk Umri huu ni vigumu sana kupiga picha na mwanamke chumbani hasa akiwa girlfriend tu ambaye huna mbele naye, kwa sababu picha ni kumbukumbu ambayo siwezi kuikana kesho..

na sio kumpa mtu ufunguo wa nyumba wakati ni hawala tu, ndio desturi na tamaduni yetu..

Nini kigezo gani cha mtu kuwa naye mbele,ndoa, kuzaa naye basi? Have they disclosed their future plans?

Haaa! Kumpa mtu ufunguo inategemea mmshibana kiasi gani, yawezekana ukamwamini hawala kuliko mke! Inategemea.
 
Back
Top Bottom