Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,579
- Thread starter
- #181
Mzee Mwanakijiji,
Kumbe lengo letu ni kuangalia wale viongozi wenye mali nyingi na tuseme ni wezi.
Nope yawezekana hilo ndilo lengo lenu!
Je ambao hawakuwahi kuomba kula tusiwaangalie?
lazima uwe na sababu ya kuwaangalia na sijasema walioomba kura tu. Soma hoja yangu nzima.
Hili ndilo tatizo la watu akama wewe kusema fulani ajiuzuru kwa kuw atu unaona ni mwiba kwako.
Katika kujiuzulu hoja zangu zinasimama zenyewe sina udugu, urafiki, au uadui. Ukiziona hazifai unazipinga kwa hoja zenye nguvu.
Mengi kosa lake ni kuwaahadaa watanzania kuwa yeye ni mtu safi na asiyecheza michezo michafu ya kisisaisa na kibiashara wakati ni uongo.Amewahi kufukuza watu katiika kampuni yake na hawakuwalipa hata kidogo(utasema kuwa yeye hauhusiki na utendaji wa kampuni).
Hao waliofukuzwa kinyume cha sheria wako wapi na wamefanya nini?
Uliona jinsi alivyotaka kuwalostisha vijana wa ze Komedi,Hii yote inaonesha ni mtu mwenye visasi(yeye mwenyewe aliingilia suala hili binafsi wkati kuna utendaji).
Unaelewa mikataba au unataka kwa vile ni yeye basi watu wafanye lolote dhidi yake bila matokeo. Walifuata sheria au la? Of course ninaelewa upande wako kwanini Mengi hawezi kufanya lolote ndani ya sheria au nje ya sheria.
Huyu huyu ndiye anayedaiwa Pesa na NBC ya kipiundi kile mpaka leo anadaiwa (hawa ndiyo wahujumu uchumi).
NBC ni shirika na lina recourse ya kisheria. Kama ni mdaiwa sugu na wameshindwa kukusanya deni wanatakiwa waende wapi kupata pesa zao? Kudaiwa na benki siyo dhambi, haijawahi kuwa dhambi, na wala siyo kosa la kihalifu unless unatala lianze kuwa leo.
FMES umenena vyema na kwa upole ulionyamaa.Tupo pamoja Mzee wa sauti za Umeme!
mistari imeshachorwa ardhini, kambi zimeshapangwa, na majina yanaitwa kila siku ni kuchagua tu upande tu. Umechagua wa kwako, nami nimechagua wa kwangu tusonge mbele.