Mzee Mwanakijiji,
Tatizo liko wapi hapa mkuu wangu!... Mengi anachukua kimwana hizo habari za ndoa wala hazina uzito kwetu kwa sababu tunaelewa kuwa mengi anazuia na kesha mmwaga Rita...
Sawa;
Mengi anajulikana mjini na mtoto kesha hamia ndani ya nyumba..
Sawa; Unaposema "mtoto" unamaana ya mpenzi wake na siyo mtoto kwa maana ya umri au uwezo wa kiakili, i presume;
watu wanafahamu kuwa hizo picha zimechukuliwa nyumbani kwa Mengi na kibaya zaidi zimechukuliwa chumbani, iweje mzee mzima akubali kuchukuliwa picha kama zile ambazo kama hakuoa zitaharibu zaidi jina lake..
Sidhani kama umeona mahali ambapo Mengi kazikana hizo picha au kulalamika kuchukuliwa picha na mpenzi wake. Kama alitaka kupiga picha na mtu anayempenda ambaye kwa maneno yake watu tayari wanajua, how would that tarnish his image? Kama watu walikuwa wanajua tayari kuwa yuko na Lilian, kwa jinsi gani picha zitaongeza kitu tofauti ya kile ambacho tayari kinajulikana.
Mimi nilikuwa najua and so many other people knew about this relationship. Nilipoona picha nikasema "wamependeza"! Ilinibadili mawazo yangu juu yao not really just confirmed to me that love is sometimes stronger than magnet.. na inaweza kukufanya ufanye things deemed to be unconventional.
Ebu rudia kuzitazama picha zote kisha dffikiria tuy kwamba huyo mwanamke sii mkewe..
Si mkewe lakini pia si dadake! Nimeziangalia na kuona ni watu wawili wenye akili timamu, watu wazima na ambao wana haki ya kufanya kile ambacho wao wawili wamekubaliana kufanya.
kisha nambie huyo mwanamke kwa kujirahisisha vile kwa mtu ambaye sii mumewe waswahili tutamwita vipi!..
Kwanini unasema kujirahisisha; kaamua kufuata kile anachotaka kwa mapenzi yake mwenyewe akiwa na akili timamu akijua kuwa amewahi kuolewa na mengi amewahi kuoa na wote wawili wanawatoto na wenzi wengine. Hivi kweli unafikiri Mengi na Lilian hawakujua hayo yote hadi wakakubaliana mapenzi au ni mimi na wewe ndiyo tumegundua hilo?
mengi anachemsha hizi habari zitazidi kuharibu image yake aachane nazo kabisa kwani kibongo bongo hakuna haramu hapa!..
Habari kwamba yuko Lilian (ambazo umesema tayari zinajulikana) au habari kuwa amepiga picha chumbani akiwa na Lilian, au kwamba habari kuwa yeye hajafunga ndoa rasmi na Lilian kitu ambacho hakijajulikana? Maana kama ni image imeshachafuka, sijui anaweza kuichafua vipi zaidi.
kwamba akae kimya na kuendelea kuzushiwa au kudaiwa mambo ambayo ukweli wake ni rahisi kuupata.