"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

Huyu mzee kwa kulia lia kila siku naye kazidi,sasa kama anajua kuna watu wana majumba huko Dubai na wapi mbona hawataji?blah blah kibao zisizo na msingi.Tunahitaji mtu jasiri ambaye atweza kuwafungulia mashtaka mafisadi na siyo kusema ukwasi walio nao.

Fitina na uongo upi?kwamba yey siyo Fuska na yule binti siyo mchumba wake?hajaeleza ndani..

Gembe

Mtu ambaye anweka Fitina ni yeye mwenye we na Magazeti yake kwa kisingizio anakandika Ufisadi.Ndiyo imesaidia ila kuna amabo mengine anafanya kwa faida ya ugomvi wake na watu wengine!

Unajua kumshikia mtu maneno si vema hata kidogo, sasa tunajua wewe ndiye mshika dau wa yale mag... na vipi kale kamaster kako umekamaliza?
 
Unajua kumshikia mtu maneno si vema hata kidogo, sasa tunajua wewe ndiye mshika dau wa yale mag... na vipi kale kamaster kako umekamaliza?

Isaya mwita Bwana,

Mbona unakuwa kama kuku wa kienyeji?kufuatilia mambo ya mjini yatakushinda mzee!

Uko kwenye Payroll?Tuendelee kukata ishu...Jana Mwanakijiji aliongea jambo zuri sana.Siyo kila mtu ana uwezo wa kuyapanga maneno..Ni sanaa wanayoweza wachache na wewe siyo mmoja wao na ungependa sana uwe hivyo!

Kwanini usiwe msomaji kama hauwezi kuchangia jambo la maana!Hayo Magazeti kwa taarifa yako mie siyajui na nimesikia tu kupitia maneno niliyosoma mtandaoni.

Hivi Mzalendo bado lipo?wana Website ?kuna jambo nimelikumbuka hapa..nimekumbuka zamani
 
Isaya mwita Bwana,

Mbona unakuwa kama kuku wa kienyeji?kufuatilia mambo ya mjini yatakushinda mzee!

Uko kwenye Payroll?Tuendelee kukata ishu...Jana Mwanakijiji aliongea jambo zuri sana.Siyo kila mtu anuwezo wa kuyapanga maneno..Ni sanaa wanayweza wachache na wewe siyo mmoja wao na ungependa sana uwe hivyo!

Kwanini usiwe msomaji kama hauwezi kuachangia jambo la maana!Hayo Magazeti kwa taarifa yako mie siyajui na nimesikia tu kupitia maneno niliyosoma mtandaoni.

Hivi Mzalendo bado lipo?wana Website ?kuna jambo nimelikumbuka hapa..nimekumbuka zamani

kuna wakati pia unachekesha.. LOL
 
Kwenye la ufisadi tumpe hongera kaka yetu Mengi kwa kulikomalia mpaka kieleweke. Lakini na yeye sasa anaanza kuwa mdaku. Kuanza kuwasonga washkaji wa zamani wa vimwana wake kutaanza kumpunguzia sifa. Kaguswa kidogo tu keshaita wanahabari, kahamaki kwani si kweli kuwa ana kimwana mdogo? au anadhani watu wote hawaoni? Lazima ajue kuwa yeye ni mwakilishi wa jamii matendo yake yatamhukumu
 
Wazee naomba mnisaidie hili gazeti la Taifa letu ni la nani .....Kwani leo limeamua kumtukana matusi ya nguoni Karamagi ! Gazeti hili kwa wale wasiojua ni la Mheshimiwa Mengi ambaye alijisema kuwa anafuata kanuni za uandishi ! Huyu mtu ni mnafiki sana , ndio maana nilisema inabidi uwe smart kujua michezo anayocheza ..

Huyu mtu ni mnafiki sana ....
 
Hebu weka hiyo piece unayoizungumzia basi....
 
Mzee Nyani,

Hebu angalia hapo chini ....

[media]http://1.bp.blogspot.com/_HO8ijU76ZcQ/SZQsX4rjeKI/AAAAAAAAkOA/f_fSphMJmXQ/s1600-h/mkuchika.JPG[/media]
 
My Take:....Waziri wa Habari ataendelea kukaa pembeni na kuangalia kusambaa huku kwa habari za kupakana matope hadi kwenye vitanda vya watu?

Baniani mbaya!

Si mlimfungia jela ya kusikika, sasa mwamhitaji?

Naona kawarudia full nondo. Anawaambia mtamfungia mchana weee, baada ya siku mtalala!

i228_Mkuchika.JPG
 
hapo ndipo panaponichanganya hata mie, wkt wanamfungia wote tulitangaziwa but kufunguliwa imekuwa kimya kimya. nilipomuona itv nilishangaa
 
Mzee nakubaliana na wewe, lakini kama huyo dada ana watoto watatu na wa mwisho "kazaa" na Masha hilo linahusiana vipi na uamuzi wake wa kumpenda Mengi na kuamua kuwa naye? Kwamba kama asingekuwa na watoto ingekuwa ok?

Imewahi kusema kuwa "kipendacho roho..." Sasa mimi sijui nini kinaendelea, na sijali sana huyo dada huko nyuma aliwahi kulala na nani na wapi, sijali kabisa kama Mengi aliwahi kuwa na x,y, na z Kwangu la msingi ni kuwa watu hawa wazima na akili zao timamu, wanajua hayo yote ambayo tunafikiri hawajui (kama mtu ana watoto watatu), na wao wakaamua kuwa pamoja kwa kufuata kile mioyo yao imewahakikishia (at least kwa wakati huu).

Kwanini tuone hilo baya. Kama kwao ni jema, familia zao zimekubali na hakuna shurti baina yao, kwanini sisi tusumbuke vichwa vyetu kufanya ionekane kana kwamba ni vibaya?
Mzee Mengi anaponea Masha alipoponea sio?
 
Huyu mzee kwa kulia lia kila siku naye kazidi,sasa kama anajua kuna watu wana majumba huko Dubai na wapi mbona hawataji?blah blah kibao zisizo na msingi.Tunahitaji mtu jasiri ambaye atweza kuwafungulia mashtaka mafisadi na siyo kusema ukwasi walio nao.

Fitina na uongo upi?kwamba yey siyo Fuska na yule binti siyo mchumba wake?hajaeleza ndani..

Mtu ambaye anweka Fitina ni yeye mwenye we na Magazeti yake kwa kisingizio anakandika Ufisadi.Ndiyo imesaidia ila kuna amabo mengine anafanya kwa faida ya ugomvi wake na watu wengine!

kwani wewe ni gogo sio mtu? au wewe sio mtanzania? au wewe sio jasiri...tutangulie njia mkuu kwa kwenda kuwashtaki mafisadi mahakamani...mimi niko mbali na Tz na bado sina uwezo wa kuwashtaki.
 
Mengi mwenyewe amesema kwamba alipokuwa mwenyekiti wa kamati ya uwekezaji ya NICOL fedha za wawekezaji zilifisadiwa.

Anadai yeye hakuidhinisha, kama Mengi kweli ni 'mpiganaji' kwa nini hakumfungulia kesi mkurugenzi mwenzake Bw. Mosha (wamiliki wa day and night pharmacy pale namanga Knondoni) pamoja brother wake Ben Mengi aliyeshirikiana na Mosha kuchota fedha za investors.

It is s fact that investors money was embezzled on his watch and he did nothing to hold his co-director and brother accountable.

Mengi atawapiga siasa wengine, sio mimi.

As far as I am concerned yeye pia yuko upande wa pili.
 
My Take:
Nashindwa kuelewa kwenye nchi ambayo ina sheria kali ya magazeti na ambapo watu wanaimba kila siku suala la maadili ya "kitanzania", kwanini tumefika hapa tulipofika? Waziri wa Habari ataendelea kukaa pembeni na kuangalia kusambaa huku kwa habari za kupakana matope hadi kwenye vitanda vya watu?

Nimeshasema huko nyuma nikimnukuu mwalimu wangu "ukivunja kanuni kubwa, kanuni hiyo itatafuta namna ya kukuvunja". Sasa magazeti kadhaa yanaanza kushindana kuandika nani anajua uchafu wa kiongozi gani zaidi na siku si nyingi hili litafika hadi kwa Rais, na mtu mwingine yeyote ambaye ataonekana kuwa ni fair target. Somebody got to stop this or as a people we ough to be prepared to pay a huge price for the silence we maintain.
Wabongo Bwana, Hamna jema! Mkuchika alilifungia gazeti la Mwanahalisi mkaibuka kulaani kwamba anajaribu kuviziba mdomo vyombo vya habari. Leo amenyamaza kimya tena oooh mbona husemi. Hamna zuri wala baya, kwenu yote mambo tu.
Mimi ninamshangaa sana mtu anayekaa chini na kumsifia na kumtetea Mengi kwamba siyo fisadi. Hivi Mengi anaweza kutuambia utajiri alionao ameutoa wapi? Mengi alikuwa ni mtumishi wa umma, akauibia umma wa watanzania, akatajirika na akaamua kuacha kazi hiyo ya kuwa mtumishi wa umma na kuendelea kuendesha biashara zake kwa mtaji aliowaibia wananchi. Najua mashabiki wake wengi mtanibishia, lakini huyu bwana ni fisadi mkubwa, akitaka kujisafisha alete vyanzo vyake vya mapato including namna alivyodunduliza huo mtaji hadi kufikia kuwa na biashara kubwa kiasi hiki, kwa mishahara na kipato cha enzi zile. Mwizi mkubwa huyu Mengi.
 
Unajua unapomwita mtu mwizi lazima uwe na ushahidi,wewe tueleze kuwa ushahidi ulionao ya kwamba Mengi ni mwizi ni upi?

halafu inaonekana kuwa unachuki binafsi dhidi ya Mengi, sasa hizo chuki zako binafsi usizilete hapa jamvini toa mada watu waijadili kama ina tija na kama huna mada kaa kimya.
 
Back
Top Bottom