"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

mambo ya ndoa tumeshayaacha. Na no.. kilichoandikwa jana kuhusu aliyewahi kuwa "Waziri Mkuu" ndicho kimewachafua wabunge sana. Na ndicho msingi wa hoja yangu pia kuhusu magazeti ya udaku.

Je hilo gazeti linamilikiwa na nani?
 
assume kuwa nimevuta kitu kidogo.. now how does that show kuwa hoja zangu ni dhaifu? Nilipomtetea Amina, Sophia, na wengine huko nyuma ni kwa sababu nimevuta kitu kidogo au kumtetea tajiri manake ni lazima nivute kitu kidogo?

Angalia mada iliyomuangalia Mengi on negative light kwa undani hapa JF ni nani aliianzisha!

Tukupe ukweli Mkuu unachofanya hapa ni kujiongezea Credits tu si jengine. Ukiona watu wanakujibu postings zako zisizo na hoja ni kujaribu kukurejesha mwana mpotevu. Kwa kipindi kirefu chembelecho CCM ulikuwa mwenzetu lakini kwa hili tunahofu ume...!
 
Mwanakijiji,

Nadhani mmiliki ni Mengi ...kwa hiyo wale wanaoishi kwenye nyumba za vioo basi.....Mimi ndio kitu ninachochukia kuhusu huyu bwana anacheza rafu sana halafu ana potray innocent ! Inabidi uwe smart sana kuiona michezo yake!
 
duh! are u serious...?
 
Tukupe ukweli Mkuu unachofanya hapa ni kujiongezea Credits tu si jengine. Ukiona watu wanakujibu postings zako zisizo na hoja ni kujaribu kukurejesha mwana mpotevu. Kwa kipindi kirefu chembelecho CCM ulikuwa mwenzetu lakini kwa hili tunahofu ume...!

Ndiyo tatizo... ulifikiri mimi mwenzenu!
 
..........hivi ni kwanini inapokuja kujadili suala fulani watu wanaangalia sura/umaarufu/uhusiano wa mtu.......kwa nini watu tusiwe open minded........?

.......inaelekea hapa JF siku hizi tumeanza kusahau ule moyo wa ku-give credit where it deserves.........

Ombi
.........JF turudi ktk ule moyo wetu wa kuchambua hoja...........
 
Nawe UMEZIDI HASA! Si kulalamika kwake kulikopelekea kupotea pesa zetu. Na kwa hili na alipeleke lwa Swahiba wake Sitta amsaidie kwani Sitta sasa ni Mr potelea Mbali na Sheria.

duh.. yaani hakuna mtu mwenye akili timamu Bungeni? Aliyetoa hoja ya kuchunguzwa suala la Malima na Mengi Bungeni ni nani?
 
Tofauti na picha za Mengi ambazo ni za kweli, kwani tumeona viatu vyake vinavyomuongezea urefu "Chiluba style". Gazeti la udaku kwa makusudi limeamua kumchafua mmoja waziri mkuu mstaafu "unknown"
 
Nadhani mmiliki ni Mengi ...kwa hiyo wale wanaoishi kwenye nyumba za vioo basi.....Mimi ndio kitu ninachochukia kuhusu huyu bwana anacheza rafu sana halafu ana potray innocent ! Inabidi uwe smart sana kuiona michezo yake!

Kama kupiga vita ufisadi ni kucheza rafu, basi aliyetunga sheria za mchezo ndio kacheza rafu na kwa msingi huo naunga mkono mchezo wa rafu wa kuwapa kibano mafisadi.
 
Tofauti na picha za Mengi ambazo ni za kweli, kwani tumeona viatu vyake vinavyomuongezea urefu "Chiluba style". Gazeti la udaku kwa makusudi limeamua kumchafua mmoja waziri mkuu mstaafu "unknown"

sikujua kama kuna mtu alikana kuwa picha hazikuwa za kweli.
 
Cuzin you know you are really nice when it come kutetea watu...I hope huwa unafanya reserch yako kabla ya kuanza kutetea...oh btw why don't you change major yako na kuwa socialogy sijui pyschology maana hiyo sector ni nzuri sana kwako kwa jinsi ulivyo na kipaji cha ku-saidia wale ambao wako insane...

And also it will be good thing kama ungerudi nyumbani tuu ili uweze kuwa more close and address issues in person than kuandika you know,,hiyo ni just advice yangu...you will help a lot of people,ambao hawana confidence ya kufanya unavyofanya wewe...
 
Cuzin you know you are really nice when it come kutetea watu...I hope huwa unafanya reserch yako kabla ya kuanza kutetea...oh btw why do you change major yako na kuwa socialogy sijui pyschology maana hiyo sector ni nzuri sana kwako kwa jinsi ulivyo na kipaji cha ku-saidia wale ambao wako insane...

I tried that before.. when I did my internship jamaa mmoja akaja kuzungumzia matatizo yake wakati nacheza keyboard.. the next day I quit.
 
I tried that before.. when I did my internship jamaa mmoja akaja kuzungumzia matatizo yake wakati nacheza keyboard.. the next day I quit.

When you did your internship in what?...counseling?.Uh then come to think about this a lot of people back home need your help...it will be good idea if you consider to go back and help them than helping people in here (U of SA) for a change...Me i am ready to support you 109%....i am just saying this for curioisty you know maana i read your post from the beggining and to the ened and you really amaze me you know,....i mean you always amaze me you pull all the negativity from people her ein jf.
 
thanks cuz.. will talk.
 
Yeah we sure need to talk cuzin..oops cuzin one more thing yoh how do you handle your stress since huna mke?....mwenzio mengi unayemtetea akirudi home anapokelewa kwa mikono miwili na mkewe na anapewa hot bath ikiambatana na massage....chillaxing....
 
Mkuu wa wilaya Col.Massawe amekanusha kufungisha 'ndoa' hiyo.
so what next??
 
Kwa hiyo nyie mnaona sawa kwa gazeti la mengi kuandika habari za uzushi juu waziri mkuu mstaafu (unkown)! Kwa sababu lile gazeti limesema ya kuwa huyo waziri mkuu ni Gay , so which one is more offensive ?
 
Sijafunga ndoa tena - Mengi
Mwandishi Wetu Februari 11, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo

Adai ni uongo unaosambazwa na mafisadi

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Reginald Mengi, amekanusha habari zilizoandikwa na gazeti moja na kusambaa nchini kwamba alifunga ndoa na binti mdogo hivi karibuni.

Katika taarifa yake, aliyoitoa kwa vyombo vya habari, jana, jijini Dar es salaam, Mengi alisema kwamba habari hizo zimekuwa zikisambazwa na mafisadi wakubwa nchini.

“Kwa muda mrefu sasa magazeti yanayofadhiliwa na watuhumiwa wa ufisadi yamekuwa yakiandika mambo mengi yaliyojaa fitina na uongo dhidi yangu na familia yangu. Kwa mfano…. Mengi aoa tena – harusi yafungwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Kanali Fabian Massawe,” alisema Mengi katika taarifa hiyo akitoa mfano wa moja ya habari zilizoandikwa dhidi yake.

Mbali ya kuisoma na kuigawa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari aliowaita ofisini kwake, Mengi hakutaka kujibu maswali yao yoyote kuhusiana na tuhuma hizo.

Hivi karibuni gazeti la Taifa (Toleo Na. 052) liliandika habari kwamba Mengi amefunga ndoa bomani (wilayani) na binti mmoja inayedaiwa anatokea Kilimanjaro anakotokea yeye.

Gazeti hilo liliandia kwamba Mengi (73) alifunga ndoa na binti anayeitwa Lilian Kimaro, na kwamba ndoa hiyo ilifungwa Jumamosi ya Januari 24, mwaka huu katika hoteli maarufu jijini ya Sea Cliff.

Aidha, siku chache zilizopita tovuti kadhaa nchini, ikiwemo ile maarufu ya jamiiforums, iliweka picha kadhaa za Mengi akiwa na huyo anayedaiwa kuwa ni mke wake mpya.

Tangu gazeti hilo la Taifa liandike habari hizo zaidi ya wiki mbili zilizopita, Mengi hajapata kutoa kauli yoyote kuhusiana na madai hayo hadi jana Jumatano alipotoa taarifa yake hiyo kwa vyombo vya habari akisema kwamba taarifa hizo ni za uongo.

Raia Mwema ilijaribu kumtafuta Mengi, jana, kwa njia ya simu, ili kumuuliza kuhusu hali yake ya ndoa na huyo anayeonekana naye kwenye picha hizo zilizowekwa kwenye mtandao, lakini wasaidizi wake walisema kwamba amewaachia maagizo kwamba hayuko tayari kuzungumza na mwandishi yeyote baada ya kuwa amekwisha kuwa ametoa taarifa yake hiyo.

Katika taarifa yake hiyo, Mengi alisema pia kwamba mafisadi wameanzisha magazeti zaidi ya 15 ambayo alidai kwamba yanasambaza fitina na uongo dhidi yake.

“Kama nilivyokwisha kusema awali, mafisadi wanaotuhumiwa kuiba fedha za umma ambazo zingetumika kwa kujengea shule na kupiga vita maradhi na umasikini, wamekuwa wakizitumia fedha hizo kwa maslahi yao binafsi kwa kujijengea majumba ya kifahari huko Dubai, Uswisi na Afrika ya Kusini, na kubwa zaidi, sasa wanazitumia kudhoofisha nguvu zinazopiga vita ufisadi,” alisema Mengi katika taarifa yake.

Bila ya kutaja majina ya mafisadi hao, Mengi alisema katika taarifa hiyo : “Fitina na uongo wa mafisadi hawa ni sumu inayosambazwa ndani ya jamii na inaweza kujenga chuki, kuwagawa wananchi na kuvuruga amani. Iwapo vurugu zitatokea, basi, mafisadi hao wataanza hata biashara mpya ya kuuza silaha ili Watanzania wazitumie kuuana wenyewe kwa wenyewe.”

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Mengi, wengi wa mafisadi hao wanaishi maisha machafu mno. “Hadi hapo Baraza la Habari Tanzania (MCT) litakapotoa msimamo wake juu ya uandishi wa mambo ya faragha (privacy), endapo waandishi wa habari wanaoheshimu taaluma yao ya kuandika ukweli wataandika uchafu wa maisha hayo, wasilalamike.”
 
Maadui wa mengi watazidi kuongezeka na hii new line ya papers zake(udaku).

Kitu ambacho wahariri wake wangeweza kumsaidia, ni kupunguza kwa kiasi kikubwa factual deficiencies stories za magazeti yake hasa yale yaliyojijengea heshima katika vita vya ufisadi. THISDAY/KULIKONI.

kuna a lot of factual deficiencies and hence collateral damage kwa watu ambao wanahusishwa na scandal mbalimbali, ambazo mi naamini zikipunguzwa, zitasaidia zaidi hii vita. Kwa kweli kuna baadhi ya stories zilizokuwa reported na mimi nikiwa nazifahamu vizuri sana real facts zake huwa zinasikitisha(si moja wala mbili). Sababu unakuta kweli kuna element ya ufisadi hiyo sehem lakini waandishi wake naona wanakosea wanapoamua kuvua kwa kutumia makokoro(kwa maana wanazoa kila kitu) na kuumiza wengine ambao ni innocent na hawana nguvu za kuhit back kama mahasimu wake mafisadi bingwa.

Hii imenifanya nizisome with caution hata zile habari zao ambazo sizijui na wamezidisclose.

With some improvement in reporting, vita ya ufisadi tutaishinda.... Naamini kwa kumpa moyo kwenye vita hii ya ufisadi, we are only doing ourselves na vizazi vyetu a favour.
 
Back
Top Bottom