"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

Kwa hiyo nyie mnaona sawa kwa gazeti la mengi kuandika habari za uzushi juu waziri mkuu mstaafu (unkown)! Kwa sababu lile gazeti limesema ya kuwa huyo waziri mkuu ni Gay , so which one is more offensive ?


Kina nani wanaona sawa hayo unayoyasema? I know not me.. soma posting yangu ya kwanza ilisemaje.
 
Hii thread imenifanya nicheke kama yule jamaa wa kwenye Pwagu na Pwaguzi......bwahahahahahahahaha! Upuuzi mtupu!

Kazi imewashinda mrudishieni huyo Machache a.k.a Mengi hivyo vijisenti alivyowapa kuja kumsafisha hapa....ufisadi kushoto, kulia na katikati! Kaaazi kweli!

Moto umewawakia, hamwezi kuuzima - mnavyojaribu ndio mwazidi kujikaanga na foleni yazidi kuwa ndefu.
 
Kwa kweli haya ndio mambo ya siasa. lakini tuwe makini kwani tunakoelekea sio kuzuri. hesima ni kitu muhimu sana katika jamii yeyote. Viongozi na sisi wananchi ni lazima tuheshimiane. Mambo ya kuchafuana sio mazuri. Ninamuheshimu sana Mengi na ninaamini kuwa sisi bindamu wote tunaupungufu katika sehemu fulani ya maisha.

Sasa basi, mzee wetu angefanya uchunguzi kabla ya kujibu hoja ya kuwa ameoa. haya ni mambo binafsi na yeyey angetatuta chanzo na sio kusingizia mafisadi. Huyu dada Lilian Kimaro ndio mwenye makosa makubwa sana. Baada ya ile party ya masks iliyofanyika kwa Mengi, yeye aliweka picha zote hizi kwenye facebook yake. Nilifanikiwa kuona profile hiyo kutoka kwa rafiki zake. Pia yeye ndio aliyebadilisha marital status yake n kuandia " MARRIED" hii kwa mtu yeyote atajua kuwa dada huyu ameoana na bwana Mengi.Kimbelembele cha dada huyu ndio kilicholetea haya matatizo. na kwa habari nyepesi dada huyu ameshaitoa profile yake kwenye Facebook, kwani huo ulikuwa ni ushaidi tosha wa kuonyesha sio mafisadi waliosababisha haya ni huyo bibi yake siyekuwa na akili na ni limbukeni. Hii inaonyesha kuwa ni vizuri mtu wa umri wa mengi apate girlfirnd matured kidogo na sio washamba washamba ka dada huyu......"kikulacho kinguoni mwako"

Mungu ambariki Mengi na ampe busara.
 
Sote tuwe kama Mzee wetu Mengi. Kila shambulizi litakaloelekezwa kwetu tulirushe kwa mafisadi. Nimeuliza mara nyingi hapa Mzee wetu huyu alifanya biashara gani nchi hii hadi akafikia ukwasi alionao sasa? Ni JACKPOT BINGO? Ni MADINI? Ni ARDHI? Ni maji ya Kilimanjaro?
 
Huyu dada Lilian Kimaro ndio mwenye makosa makubwa sana. Baada ya ile party ya masks iliyofanyika kwa Mengi, yeye aliweka picha zote hizi kwenye facebook yake. Nilifanikiwa kuona profile hiyo kutoka kwa rafiki zake. Pia yeye ndio aliyebadilisha marital status yake n kuandia " MARRIED" hii kwa mtu yeyote atajua kuwa dada huyu ameoana na bwana Mengi.Kimbelembele cha dada huyu ndio kilicholetea haya matatizo. na kwa habari nyepesi dada huyu ameshaitoa profile yake kwenye Facebook, kwani huo ulikuwa ni ushaidi tosha wa kuonyesha sio mafisadi waliosababisha haya ni huyo bibi yake siyekuwa na akili na ni limbukeni. Hii inaonyesha kuwa ni vizuri mtu wa umri wa mengi apate girlfirnd matured kidogo na sio washamba washamba ka dada huyu......"kikulacho kinguoni mwako"
Subiri post ndeeeefu ya kanjanja mwanakijiji...atapinga......atakataa.....atabisha....
 
Subiri post ndeeeefu ya kanjanja mwanakijiji...atapinga......atakataa.....atabisha....

Kwa maneno machache, naweza kusema hakuna maelezo yoyote yanayoweza kuhalalisha waandishi kuandika UONGO, hata kama umesemwa na mhusika mwenyewe. Mfano leo mimi nikisema nimemuoa/nimeolewa na ..... ambaye ni mtu muhimu katika jamii na nikaweka katika mtandao, magazeti ya Tanzania yatachukua na kusambaza bila kufuatilia Bakwata/Kanisani/Bomani kupata ukweli? na hata baada ya ufafanuzi wa DC aliyetajwa kufungisha ndoa bado waandishi na wachangiaji wanahalalisha "NDOA" hiyo!!!! Hii si sawa kabisa, tubadilike.

Ni lazima vyombo vyetu vya habari VIBADILIKE SASA
 
Pamoja na yote haya kwenda kuoa mtoto wa umri tena mdogo kuliko watoto wako unategemea nini??? Ni kama yale ya Mugabe!!!!! Sasa kama binti aliweka picha face book yake si ushamba huo??? Hayo ni mambo ya private sana hasa ukizingatia Mengi ni married and he is still married to his first wife until wameagree divorce. Kitu ambacho yule mama hana mpango nacho. Huu ni ulimbukeni kutaka kupata umaarufu kwa kuwa ameolewa na tycoon. Sasa yameshauanza moto na kuuzima hawatauweza. Kibao kimewageukia.

Kitu ninachoomba ni kwamba Mengi aache kwenda kwenye majukwa ya dini na vimchango vyake. Ni dharau kwa Mungu. Wachungaji wote Tanzania wanajua kuwa Mengi hana ndoa iliyosimama na mke wake wa ndoa?? Je wamemsaidia kiasi gani kusuluhisa ile ndoa?? Au wanamwogopa maana wakiuliza watanyimwa pesa??? Hapa kidogo masuala ya hizi dini na utajiri wa mtu linanipa shida sana. Mchungaji wa kweli ni lazima ahakikishe kondoo wake wako salama. Kwa maisha ha Mengi ya kuwa na vimada na uzinzi mwingi sana hapa mjini ilitosha kabisa kumfungia shughuli za kikanisa. Mimi nikimwona akisimama katika hizi harambee za dini huwa nazima tv, ni mnafiki hafai.

Huwa namtetea sana Mengi kwenye issues nyingi za kumpinga ila kwa hili la kuoa na kuacha na kuanza ku date mabinti wadogo (kuna watu wanamkuadia mabinti na inajulikana) ni aibu. Sijua kwa nini hakupata fundisho kwa madame Ritta. Kama alitofautian na mke wa ndoa basi angetafuta angalao a descent woman mwenye umri wa kuheshimika ndipo aishi naye tena ki silencer.

Huyu Lilian pia is not a descent kid!!!!! Ana wanaume kibao hapa mjini!!!! Wakati anasoma sheria chuo alikuwa ameshaolewa tayari, na jamaa mwenye uwezo tu na alikuwa anakuja na usafiri mzuri tu (self drive) na alikwa amezaa tayari. Je yule mume wameshatalikiana??? Ukweli ni kwamba hata mumewe wa awali alishindwa kuishi na huyu dada maana ni Kicheche cha ngono. Eti Mengi naye anaona kaoa, pengine labda kwa show off tu.

Wana JF inapokuwa tunasema ukweli kuhusu jambo tuwe makini kutetea hata lile ambalo ni kinyume na maadili. Tena wale vipenzi wa Mengi mliomo humu naomba mtafuteni mpeni counselling ya maisha. Amefanikiwa sana kibiashara lakini si kifamilia na kimaisha kwa ujumla. Mafanikio ya mwanaume ni jinsi gani ameweza kuwa na familia imara na si kiasi cha liquid and non-liguid assets. It is too much and greedy for him.

Askofu Malasusa, Laizer na wengine wanasemaje kwa hili??? Hivi anathubutu kukaa naye high table kwenye fund raising za KKKT?? Watu wamefanya dini biashara.Wachungaji na maaskofu wa zamani wasingekubali hata Mengi kuwasogelea. Ameudhi hata wanawe kwani kila siku baba ni kubadilisha wanawake kama kanga au magauni??? it is too much fo them.
 
Last edited:
Massawe ajitoa ‘ndoa’ ya Mengi



na Nasra Abdallah




MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Fabian Massawe, amekanusha kuhusika kufungisha ndoa ya Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, katika Hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam.

Massawe alitoa tamko hilo ikiwa ni siku moja tangu Mengi alipokutana na waandishi wa habari kukanusha habari hizo zilizoandikwa na gazeti moja la kila wiki na pia picha zake kusambazwa katika mitandao mbalimbali hapa nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Massawe alisema habari hizo ni za uongo. Aliongeza kuwa zimemshitua, kumfedhehesha na kumdhalilisha mbele ya umma.

“Ifahamike kwamba nina heshima kubwa mbele ya umma, nimetumikia taifa letu kwa uadilifu takriban miaka 33 na kutunukiwa nishani mbalimbali ikiwamo ya utumishi uliotukuka. Kote nilikofanya kazi na ninakofanya kazi bila shaka wameshituka na uongo ulioandikwa na gazeti hilo,” alisema Massawe.

Alisema kutokana na habari hizo hadi sasa ameshawasiliana na wanasheria wake na kuangalia uwezekano wa kulifikisha gazeti hizo mahakamani.

Katika hatua nyingine, Massawe alitoa wito kwa wanahabari kuzingatia maadili ya taaluma yao kwa kufanya kazi yao iwe ya kuelimisha na kutoa habari za ukweli kwa umma.

Aliwataka wanahabari kukataa kutumika kulipotosha taifa kwa kuleta misukosuko kwa kutaka kufurahisha nyoyo za baadhi ya watu na kulinda maslahi yao.

Kutokana na hali hiyo, aliliomba Baraza la Habari kusimamia kikamilifu uandishi wa namna hii na ikibidi hatua kali za kisheria zichukuliwe na hata kufikia kuyafutulia mbali magazeti yanayokiuka maadili ya taaluma ya habari.

Source:Tanzania Daima.

Nadhani hakuna haja ya kuendelea na ushindani wa maneno yasiyokuwa na mashiko.Kwa kuwa mkuu wa wilaya aliyetajwa kufungisha ndoa amekanusha kufanya hivyo tuchukulie hii habari ni uzushi na ikiwezekana waziri wa habari alifungie gazeti husika na faini kubwa ili iwefundisho kwa waandishi wa habari ambao wako tayari kununuliwa kwaajili ya kuwachafua watu.
Waandishi wa habari wa aina hii wanadhalilisha taaluma ya habari kama tukiendelea kuwaachia waendelee na udaku taifa letu litafika mahali pabaya.
 
Recta umesema kitu muhimu sana; wanaotaka Mengi aache "kulia lia" na kutafuta "sympathy" ni watu ambao hawajue the nature of the struggle. Wanachotaka kusema ni kuwa Mengi ainame apigwe bong'oa halafu achekelee! Watu hawa kimsingi wanataka Mengi asalimu amri na asijibu mapigo au hoja kwa hoja.

Kimsingi hawa hawaoni ubaya na uzito wa tuhuma dhidi ya Mengi bali wanaangalia majibu yake kama ni kutafuta sympathy au la. Kwa kufanya hivyo wako tayari kuona Mengi au mtu mwingine anashambuliwa kucha kuchwa lakini akijibu atakuwa analia lia.

Ukweli ni kuwa mapambano haya yako katika level nyingine kabisa ni mpaka mtu aelewe ni nini Mengi anawakilisha (pamoja na mapungufu yake yote ambayo mengi (no pun intended) yameandikwa. Ndiyo maana wengine ambao hawana hoja wamebakia kushambulia watoa hoja na kushindwa kukabili hoja zilizopo.

Hawa wakosoaji wa Mengi hawajasema kitu kupinga kampeni za kina KALIKARO baada ya kuanzisha magazeti yao na vile ambavyo viliandikwa mapema kuhusu magazeti hayo. Kwa muda wote magazeti hayo yametupa mashambulizi kwa Mengi watu waliona ni sawa tu na Mengi kukaa kimya ilikuwa sawa tu wakati anaendelea kuzushiwa uongo uliopaka rangi ya ukweli.

Sasa leo kuna vyombo vya habari vimeanzisha vyenye kuwapa sumu hiyo hiyo wabaya wake watu wanashtuka na kuona Mengi anafanya kisicho sahihi! Watu wanashtuka na Mengi kutoa kauli na maelezo yake lakini hawashtushwi na mashambulizi ya kufananishwa na Hitler! Hawashtushwi siyo kwa sababu hawaoni uzito wa tuhuma hizo au jitihada za kusababisha magazeti na vyombo vya habari vya Mengi vikwame. Wao wanashtushwa na majibu ya Mengi!

Sasa inapotokea mtu kumtetea Mengi (kama ninavyofanya kwa ujasiri na umahiri uliokubuhu- ujiko najipa mwenyewe!) watu wanaanza kutoa madai yale yale ya kizushi, kumshambulia mtoa hoja na mtoa majibu badala ya majibu yenyewe! Utetezi huu kama ule nilioffanya kwa Sophia Simba unawakuta watu mahalii ambapo hawaelewi kwa sababu ngoma wanaoicheza wao miye sichezi. Wao walitarajia kuwa kwa vile wao wana chuki, husuda, wivu, au kutojali kwa namna yoyote kuhusu "mengi" basi wote sisi tuungane kwenye mawazo ya namna hiyo.

Usipomkandia Mengi, basi wewe uko kwenye payroll yake au ni maskini na unabembeleza utajiri wakati wao wakiwatetea watu wanaokubaliana nao hatujawahi kuwaita kitu kingine chochote au kubeza hali zao za maisha.

Katika nguvu za hoja, wameshindwa na sasa wanatapatapa! Mistari imechorwa na pande mbili zimeshajitenga daima! Tusonge mbele!! Katika hili hakuna udugu, urafiki, ujamaa, au ushirika wa aina yeyote. Nitaendelea kukosoma ninayemchagua, kumtetea ninayemchagua na katika yote mawili nitaleta hoja zangu mbele na kuzisimamisha zisimame zenyewe. Mwenye uwezo wa kuzipangua ajaribu!!

To be honest, Mwanakijiji uko very independent ktk mind yako. Nakubaliana kabisa na maelezo yako. Sijui kwa nini kuna watu bado hawataki kuelewa unachoo maanisha.
 
Kwanini haendi mahakamani kushitaki hayo magazeti kwa kumkashifu?
 
Mfano leo mimi nikisema nimemuoa/nimeolewa na ..... ambaye ni mtu muhimu katika jamii na nikaweka katika mtandao, magazeti ya Tanzania yatachukua na kusambaza bila kufuatilia Bakwata/Kanisani/Bomani kupata ukweli? na hata baada ya ufafanuzi wa DC aliyetajwa kufungisha ndoa bado waandishi na wachangiaji wanahalalisha "NDOA" hiyo!!!! Hii si sawa kabisa, tubadilike.

Ni lazima vyombo vyetu vya habari VIBADILIKE SASA
Nyie makanjanja mlifatilia bomani,kanisani au wapi kubisha kuwa Boss wenu hajaoa?
 
Mzee MKJ,
Naona sasa yatosha kwenye hii thread. Umeshalonga mengi mwenye upeo wa kuelewa ataelewa asiyetaka basi ni uhuru wake wa kikatiba. Naona tumekumiss sana kwenye threads nyingine zihusuzo ufisadi kwani nimegundua ulijikita na hii. So please just slow down kwenye hili then tuendelee na mapambano. It was just my views.
 
Mzee MKJ,
Naona sasa yatosha kwenye hii thread. Umeshalonga mengi mwenye upeo wa kuelewa ataelewa asiyetaka basi ni uhuru wake wa kikatiba. Naona tumekumiss sana kwenye threads nyingine zihusuzo ufisadi kwani nimegundua ulijikita na hii. So please just slow down kwenye hili then tuendelee na mapambano. It was just my views.
Inambidi aandike hana jinsi keshakula pesa za Mchaga...na pesa za mengi haziendi kavu kavu......lazima uzitolee jasho...
Bravo mwanakijiji wewe ndio mjasiriamali......
 
duh.. yaani hakuna mtu mwenye akili timamu Bungeni? Aliyetoa hoja ya kuchunguzwa suala la Malima na Mengi Bungeni ni nani?

MAFISADI wakubwa ndio wanaokaa mistari ya mbele sasa cha kushangaza nini? Masuala mengine Bwana, Kwanini usiulize aliyekwenda kulalamika Bungeni nani?
 
To be honest, Mwanakijiji uko very independent ktk mind yako. Nakubaliana kabisa na maelezo yako. Sijui kwa nini kuna watu bado hawataki kuelewa unachoo maanisha.

Nawe unafahamu nini anamaanisha hebu tueleze kwani tunachokijua sisi anajaribu kumfanya huyu mtu kama mtume kwamba kakamilika. Hakuna anaekataa kuwa labda kuwa magazeti yanatumiwa vibaya lakini huyu mchaga wake nae anatumia vibaya atatus yake vibaya. Kwanini analalamika kwa mchezo ambao yeye mwenyewe anacheza? Kwanini anakataa uchafu uliowazi na badala yake Mwanakijiji anamtetea? Ni huyu huyu ambaye mwanzo wa thread alikuwa akikataa uzinzi wa Mengi lakini baada ya kukumbusha na picha anakuja na kuubariki uzinzi huo. Kama wewe na Mwanakijiji hamjui uzinzi basi eleweni kuwa kutembea na mtu nje ya ndowa ni uzinzi. Makubaliano au mapenzi hayafuti suala la uzinzi.
Jambo jengine huyu mengi anajuwa na ana uwezo wa kutumia vyombo vya sheria na kwa nchi ya sheria muadilifu yeyote atatumia sheria kudai haki yake lakini hafanyi hivyo na badala yake anapayuka tu. Si yeye huyu alietumia sheria kuwazuia The commedy, sasa kwa hili anashindwa nini?
Si kweli kuwa kila anaemuelekeza na kumuonya na mabaya ana chuki na yeye pengine kumpenda ndiko kunawafanya wengi wetu kuchukia kumuona anafanya mambo yasiyomfaa mtu aliye na heshima kama yeye. Inapotokea mtu anamsifu na kumshauri aendelee kufanya mambo ya kumdhalilisha na kujidai anamtetea nashangaa na ndio nashangaa na Mwanakijiji kuendelea kumpotosha Mzee wa Watu. Pengine huyu Bwana kama walivyosema baadhi ya watu kuwa ni Kajanja, anajidai kumtetea Mengi na badala yake lengo lake ni kumchafulia zaidi kwani ushahidi wa kutosha unaonyesha hapa kuwa kila Mwanakijiji akiirefusha hii Thread ndio upande wa pili wa Mheshimiwa Mengi unaletwa ukumbini.
Nafikiri mengi yameshazungumzwa na umeshafika wakati tusitowe Faida kwa walokuwa na malengo ya kuutumia ukumbi huu kwa masilsha yao na hivyo hii thread ifungwe.
 
Kwa kweli haya ndio mambo ya siasa. lakini tuwe makini kwani tunakoelekea sio kuzuri. hesima ni kitu muhimu sana katika jamii yeyote. Viongozi na sisi wananchi ni lazima tuheshimiane. Mambo ya kuchafuana sio mazuri. Ninamuheshimu sana Mengi na ninaamini kuwa sisi bindamu wote tunaupungufu katika sehemu fulani ya maisha.

Sasa basi, mzee wetu angefanya uchunguzi kabla ya kujibu hoja ya kuwa ameoa. haya ni mambo binafsi na yeyey angetatuta chanzo na sio kusingizia mafisadi. Huyu dada Lilian Kimaro ndio mwenye makosa makubwa sana. Baada ya ile party ya masks iliyofanyika kwa Mengi, yeye aliweka picha zote hizi kwenye facebook yake. Nilifanikiwa kuona profile hiyo kutoka kwa rafiki zake. Pia yeye ndio aliyebadilisha marital status yake n kuandia " MARRIED" hii kwa mtu yeyote atajua kuwa dada huyu ameoana na bwana Mengi.Kimbelembele cha dada huyu ndio kilicholetea haya matatizo. na kwa habari nyepesi dada huyu ameshaitoa profile yake kwenye Facebook, kwani huo ulikuwa ni ushaidi tosha wa kuonyesha sio mafisadi waliosababisha haya ni huyo bibi yake siyekuwa na akili na ni limbukeni. Hii inaonyesha kuwa ni vizuri mtu wa umri wa mengi apate girlfirnd matured kidogo na sio washamba washamba ka dada huyu......"kikulacho kinguoni mwako"

Mungu ambariki Mengi na ampe busara.



you are right, ila, Lilian alitaka ujumbe wa 'MARRIED' umfikie dada Rita (mambo ya rusha roho!!), magazeti ya 'udaku' yakapata ujumbe na kurusha hewani, babu Mengi akalia mafisadi wamemkalia kooni...wadanganyika tukadanganyika!!, kumbe ni ugomvi wa 'vicheche' vya Mengi!
 
Nawe unafahamu nini anamaanisha hebu tueleze kwani tunachokijua sisi anajaribu kumfanya huyu mtu kama mtume kwamba kakamilika. Hakuna anaekataa kuwa labda kuwa magazeti yanatumiwa vibaya lakini huyu mchaga wake nae anatumia vibaya atatus yake vibaya.

it says a lot about your motivation.. I'm done here.
 
Back
Top Bottom