Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,137
Ya kaizari.................
Picha hazina matatizo, hiyo ilikuwa MASQUERADE BALL kwa hiyo mtu anaweza kuwa na yeyote. Tatizo ni kama ndoa ilifanyika kwanini aikane?
sawa na mwanae sawa na mwanae! Kwani kakulalamikia kuwa anamuumiza? toka lini gari bovu livute gari bovu? Wacha zako hizo za kuleta!
Hahahaha mkuu kweli kama hajamzaaa siyo mwanae
Jamani, who really cares kama Mengi kaoa au hajaoa? This is so ridiculous now.....
Nimeuliza kwa Sababu Huyu mengi ni ameajiri watu wengi na anamakampuni mengi na na yeye na mkewe mercy ni waanzilishi na hata kwenye Forbes Africa 2014 walimwandika mkewe Kama separated and walimwita estranged wife ( inamaanisha mercy ni mkewe ila no sex yaani mkewe hataki kuguswa kimapenzi ).Klyn anamiaka 35 na mengi 73 .Hii ni Anna Nicole smith situation .Itakuwa tatizo kubwa Kama mengi na mercy ni sole owner wa makampuni.Kama makampuni yanaongozwa na stock holders Hilo sio tatizo .I care less about sex life Yao Mimi naulizia impact uongozi wake na employers wake .Huyu ni mtoto mdogo mnoo ( almost my age ) .Mwanaume akifika 50 age magonjwa yanaanza Mara migingo,prostate .Nothing attractive about a 73 years old men
Hii ilikuwa engagement party ya Mengi na Lilian Kimaro, Kinondoni.
ukitaka kumfahamu huyu mengi dai chako,pana rafiki yangu alikuwa mpambe wake kazi yake ilikuwa kupeleleza habari za manji.hili nina ushahidi nalo kwani jamaa alipeleka kwa mengi ili wakamalizane cha kusikitisha ni kuwa hakupata haki yake licha suala lao kufika hadi kwa jk.kwa kifupi mengi anataka wananchi wamwone kama anaonewa.
Pimbi wewe jee hao wananchi wakishamuona ana onewa what next.?
Hata kama wana ndege hayamhusu ni za kwao mbona yeye anavyotumia brand za watu hatusemi ?? Radio 1 , itv si brand za watu wengine ? The gurdian si brand ya watu wengine ?? Kwanini asiwe mbunifu awe na vyake ??
Kutumia brand za watu kama unamakubaliano nao siyo kosa.Ubunifu bongo!! Wewe ulishawai kubuni nini? We Bwabwaja mwenzako ana make money.
Haya mzee Mengi kaoa tena hii sasa ndoa ya tatu na anapenda kuoa karibu na chaguz ili aseme wanamchafua
..kwani hajaoa na picha zipo...kamuoa lilian kimaro wa BRELA.....