Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam. Hii inatokea muda mchache baada ya Shule ya Kinondoni Muslim kuwaka moto jana Julai, 2020.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefika kwenye Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic iliyopo Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam, ambayo darasa moja limeungua hii leo.

1595061108918.png

1595061140063.png
 
Huyo Mambosasa na wenzie wafanye uchunguzi tujue nini tatizo.

Hii haiwezi kuwa coincidence kuna kitu.
Sheikh aachiwe huru.
Kama moto unalipuka wenyewe kwenye matofali itakuaje kwenye vilipuzi kama vya gongolamboto, lugalo, mbagala n.k?
Sheikh anaendelea kufunga na kusoma vosomo akimshirikisha IMAM GHAZAL
 
Back
Top Bottom