Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,687
- 99,393
Tulijadili humu kuwa pale pawekwe UwekezajiJF VAR CHECK
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
- Moto wa volcano
- Replies: 145
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko