This happened just too soon..🙌🏿😂Aiseee
Huyu alijua kinachokujaJF VAR CHECK
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
- Moto wa volcano
- Replies: 145
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ya nini kuingiza watu hasara ambayo hamuwezi kuwalipa, si wangewapa muda wa kuhamaThis happened just too soon..🙌🏿😂
Sure hii sio coincidence, michezoNilitaka kusema hivi hivi, hii kitu iko planed. Lol
DuhJF VAR CHECK
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
- Moto wa volcano
- Replies: 145
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Who cares..! They just don't care...😭Ya nini kuingiza watu hasara ambayo hamuwezi kuwalipa, si wangewapa muda wa kuhama
😁 Hawashindwi kitu hawaAliyeleta hoja ndio mmojawapo
Mashuda wa eneo la tukio wanasemajeBado chanzo hakijajulikana ila moto ni mkubwa
Ofisa wa VAR huna baya 😁JF VAR CHECK
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
- Moto wa volcano
- Replies: 145
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Nimeshaondoka eneo la tukio mkuuMashuda wa eneo la tukio wanasemaje
Mbele ya kifo hata kiwete anakimbia.Halafu pale si ndio kuna walemavu? Wamepona?
😀😀😀 Nimesoma kichwa cha habari nikataka kucomment hivi.Kuna mtu kaleta hoja juzi shule ivunjwe! Alikuwa anatualert sio? 😁