dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,014
- 57,174
Ujenzi wa reli ulileta wengi sana.Duuh,
Mababu zako walihamiaje Dsm.?
Ujenzi wa reli ulileta wengi sana.Duuh,
Mababu zako walihamiaje Dsm.?
Walikuwapo kwenye viunga vya Mzizima tangu Dar es salaam haijawa Dar es salaam miaka ya 1800 huko.Duuh,
Mababu zako walihamiaje Dsm.?
Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti
Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto unavyoongezeka kwa kasi eneo hilo. Bado kikosi cha zimamoto hakijafika eneo la tukio ingawa watapata tabu kufika hapo sababu muda huu wa saa kumi jioni msongamano wa watu na magari ni mkubwa sana eneo hilo
Chanzo cha moto hakijajulikana
Mamlaka husika zitakuja kutoa taarifa rasmi
Nimeshindwa kuweka picja au video clip kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Sidhani......nimeishi nchi zilizoendelena sijawahi kushuhudia eti helkopta zikutumika kuzima moto... anyways, kama tumeshindwa kupangilia mji wewe unadhani hatua ya helkopta itawezekana? Mawazo yako ni kama ya yule mkata mauno wa CCM aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi cha Magufuli alikuwa anasema wanaagiza drones za kuzima moto.Kiutafiti, imebainika helicopter inaweza kutumika kuzima moto pia
Useme kwa mazingira watawala wetu, hilo suala sio kipaumbele chao
Kuhusu kupangilia miji, tukubali tulishakosea kama Nchi, lakini haiondoi umuhimu wa kuwa na mipango madhubuti ya kukabiliana na majanga makubwa ya moto
Video tafadhali.Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti
Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto unavyoongezeka kwa kasi eneo hilo. Bado kikosi cha zimamoto hakijafika eneo la tukio ingawa watapata tabu kufika hapo sababu muda huu wa saa kumi jioni msongamano wa watu na magari ni mkubwa sana eneo hilo
Chanzo cha moto hakijajulikana
Mamlaka husika zitakuja kutoa taarifa rasmi
Nimeshindwa kuweka picja au video clip kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Arsenal kala kodi ya watu huko!Nini kimetokea huko
Nilishasema hakuna moto wowote uliotokea eneo Hilo Leo, nilikuwepo maeneo hayo wakati mleta Uzi alipoweka huu uzushi wake humu.Video tafadhali.
AhojiweYeye ni mshukiwa namba Moja
🏃
Imenifikirisha kidogoKuna mtu kaleta hoja juzi shule ivunjwe! Alikuwa anatualert sio? 😁