Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 5,164
- 4,880
Mama anatafuta mabaki ya takatata yaliyotupwa na hao ndege tunawaita NDEGE MWARABU ama BWANA AFYA wanasaidia kusafisha taka zilizotupwa kama nyama.Huyo mama na hao ndege hapo jalalani wanafanya nini mkuu?? 😂😂