Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Binafsi sijawahi kufika Kahama wala Geita.. Ila Moshi nimefika.

Kwa faida ya wengi, tuanze kuweka picha za mji wa Kahama na Geita na wa Moshi waweke zao ili tuanze kuilinganisha hii miji.
Uchaggani Hakuna miji.

Kilichopo ni kila mtu kujitutumua kujenga nyumba kwenye Kihamba chake hata Kama Kiko Porini huko au milimani.
 
Mpango ulipo HV sas Ni kuunganisha miji hi miwili Moshi na Arusha kuwa jij moja Kama ilivyo kazkasn mwa jiji la london ambako Kuna West Ham , arsenal ,totenum, na Chelsea ..yote Hyo inapatikana London
 
Ngoja niwaongezee.

2. Kiwanda cha Serengeti Breweries
3. Kiwanda cha Soda Bonite Bottlers
4. Kiwanda cha Sukari TPC
5. Kiwanda cha Maji ya Kilimanjaro
6. Imara Woods Product (Kiwanda cha bidhaa za Mbao?
7. Kiwanda cha Ngozi (Moshi Leather Industries Ltd?
8. Kiwanda cha Viatu Karanga (Kiwanda cha Jeshi la Magereza)
9. Hospitali ya KCMC
10. Chuo kikuu cha KCMC
11. Chuo cha Ushirika
12. Chuo cha Mwenge
13. Chuo cha Mchungaji Stefano
14. NMB
15. CRDB
16. NBC
17. Uchumi Commercial Bank
18. Kilimanjaro Cooperative Bank
19. Exim Bank
20. Mkombozi Bank
21. KCB Bank
22. Equity Bank
23. Stanbik Bank
24. Access Bank
25. TPB
26. DTB
27. Absa
28. I&M Bank
29.
Please ongeza Chuo cha Mweka (Chuo pekee cha wanyamapori Tanzania nzima)
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Kwa heading tu ya uzi ulistaili kupigwa Ban.
Halafu jifunze kuacha ujinga.
 
Nasubiri wana moshi waje kukubishia

Mji wa kahama una

1 Barick gold mining
2 Bulyanhulu Gold mining
3 kiwanda kikubwa cha maji kipo njiani kufunguliwa
4 kiwanda cha bati
5 vituo vya mafuta vingi na vya kisasa
6 BANK OF AFRIKA
7 DTB
8 NBC
9 CRDB
10 TPB
11 NMB
12 Elution
13 N.K

Watuwekee na MOSHI, wana nini cha kujivunia!!!
Naanza
1 Watengenezaji wa Pombe aina ya Mbege
2.???
Tuone picha please
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Una hasira, hazitasaidia..
 
Back
Top Bottom