Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,648
...hakuna mchaga kiazi kama wewe wallah!
...aisee!
Huyo ni KYASAKA!
...hakuna mchaga kiazi kama wewe wallah!
...aisee!
Asisahau na kupita kuanzia pale Makoa, apandishe Kisereny, Nkuu Sinde, Nkuu Kati mpaka Nkweshoo..
NAMPONGEZA AFISA MIPANGO MIJI WA MOSHI KWA KUANZISHA MIJI MIDOGO MIDOGO KAMA BOMA NA HIMO imepunguza watu kukimbilia MOSHI MJINI nenda kwenye hii miji midogo watu wamejitahidi huduma za benk maji umeme zipo TOFAUTI NA MIKOA MINGNE MJI NI MMOJA TU MABADILIKO YANAKUWA KILA SIKU KWA KUWA WANAKIMBILIA MJINI WENGI NA HAKUNA MIJI MIDOGO
Nipingane na wewe kidogo!!
Nimeishi maeneo mengi sana ya Tanzania!
Hakuna sehemu yoyote yenye vijiji vilivyoendelea kama Kilimanjaro.
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu.
Xmass iishe minirudi Nairobi.
Na pale kalali near msikitini.
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana
Ndio Mkuu Utobokea Chekereni hadi TPS uko yani changamoto ninyingi bado sana ndugu tufanyeni mabadiliiko
Moshi ya wachagga haina upumbavu kama wq kwako.[/QUOTE
Ungejua unabishana na mdogo wake nani katika nchi hii ungekaa kmya..Niliombwa sana kugombea jimbo la Hai but sikutaka tu naningechukua Saa Mbili tu..
We rudi ulikotoka coz huna lolote.. Et machame inanukia ndz! Ulitaka inukie sukuma wk Kama ulikotoka!
Sasa wewe ndiyo wale ambao kila sehemu ya Kilimanjaro kwao ni Moshi. Afisa mipango wa mji wa Moshi anahusika vipi na mji wa Boma ulioko wilaya ya Hai? Badilikeni siyo kila sehemu ni Moshi, kama sehemu inaitwa Masama iiteni Masama tu. Wote wanaotoka mkoa wa Kilimanjaro wanatoka Moshi!!!???
Hata kama ni kichakaninyumbani ni nyumbani tu!!
Aiseee ni hatari sanaUnataka uonekane nawe wa moshi ehh?ila pataendeleaje wakati wazawa mnaonekana kwa msimu hasa sikukuu kama hizi tena mnaenda kwajili ya matambiko,hamuwekezi nyumbani,fursa kibao zipo kilimanjaro,unabaki kulialia hapa jf, sijuwi ili uwonekane nawe wa moshi umerudi nyumbani huu ni ujinga.maendeleo ya sehemu yanaanzia kwako binafsi.
HahahahahahahhaAiseee ni hatari sana
Mzee wa chama..hahahaaYule mzee ndo hamna kitu kabisa kawadanganya wenzie kahodhi ardhi ya kutosha analalamika serikali haimsaidii kufanya uwekezaji yani hii mijitu ya Moshi imekaa kiwiziwizi tu mpaka viongozi wao.ngoja tumuone huyu mbunge wa sasa hivi maana siyo mchagga.
Yani huyu jamaa ni ZWAZWA hatari..