Moshi ipo kama nilivyoiacha

Moshi ipo kama nilivyoiacha

Hueleweki, Kwanza Machame sio Moshi, Huko ni Hai! Labda unazungumzia mji wa Boma/kwasadala hapajakua, maana ndio town ya wamachame hiyo, kam ilivyo Himo/Njia panda kwa Wamarangu! Moshi mjini ya wa WAKIBOSHO, WAURU, OLDMOSHI... Hao ndio wamepakana na moshi mjini.

Huko kwenu Hai, tatizo ni Mbowe.....Anatorosha mabilioni nje badala ya kujenga huko.. Nasikia kuna viwanja alikuwa navyo moshi mjini hajaviendeleza, wanavichukua wenyewe......

Wewe unataka Mbowe ajenge kitu gani?? Au amjengee nani??
 
hakuna mji na vijiji vilivYoendelea vizuri kama mkoa wa Kilimanjaro nimetembea Songea,Iringa mbeya,sumbawanga,morogoro pwani Dodoma na ndio maana kwenye Human Development index Kilimanjaro niya pili baada Dar
 
Ebu mleta mada jisome hapa alafu tukuulize tena unaishi Nairobi au Mwanza??

Alafu mambo ya kutaja majina ya watu na kujisingizia una uhusiano nao sio sawa, watu tutafikiri watu wengine kabisa ambao tunawajua.. Mpwa wa Ment anayeishi Nairobi namfahamu na wala hana huu upuuzi, wewe labda utakuwa mkata majani wake pale kwao Nkuu..

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/982284-wana-jamiiforums-mwanza-tukutane.html

Huyu jamaa ni kiazi 😂😂😂
 
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu.

Xmass iishe minirudi Nairobi.

Mji daima huwa unajengwa na wenye mji, sasa wewe kama mwenyeji wa Moshi unalalamika ulikuwa unategemea nani auendeleze mji wako?????

Na endapo kama wewe ni mpita njia huwezi kujua mabadiliko yaliyopo!!!!! weee pita zako waachie wenye mji

Mawenzi Road - July  2009.jpg

Moshi 02.jpg

Moshi Kibo Road.jpg

Moshi Monument.jpg

Moshi Stand.jpg

Moshi town 2011.jpg

Moshi Town.jpg
 
Nilivyomuelewa mtoa mada ni kuwa Moshi ilipaswa kuwa imepiga hatua kubwa zaidi kimaendeleo ya kiuchumi,maendeleo ya upatikanaji wa huduma bora zaidi za kijamii na maendeleo ya walio wengi na sio wachache. Maendeleo sio barabara na mazingira yaliyo kijani au magari,watu wetu wanafanya nini kuwaingizia kipato chao? Huduma za kijamii zikoje na hapa sizungumzii uwepo wa Hospitali,ubora na aina ya huduma zinazopatikana zikoje? Binafsi hata shule tulizosoma tuliotoka huko tumeshindwa kuziboresha,lakini pia tuna vijana wengi tu ambao hawana ajira bado hatujazungumzia kiwango cha wanaume watu watu wazima ambao wamekuwa walevi wa kupindukia huko vijijini. Afya za watu zinadorora kila siku,sio wale wazee ulikuwa unaenda unakuta wako mashambani wanafanya kazi zao kwa bidii.

Mi nafikiri tujitafakari,je tunaweza kuwa sehemu ya kasi zaidi ya mabadiliko kwa mji wetu wa Moshi, tujiulize tu kwa nia ya kujenga na sio kujibu kwa kuwa mtoa mada ametoa maoni. Kwa nini tupo tulipo,nini tunaweza fanya kuwasaidia watu wetu kule Moshi na sio familia zetu tu? Wengi ni wakulima,ukifika Moshi utagundua climate change is real,joto sana na ile hali ya hewa imebadilika,tunafanya nini? Elimu na hospitali zetu,nini tunaweza fanya?

Nimetizama mchango wa mtoa mada kwa namna hii na naheshimu maoni ya kila mtu. Ninachowaza ni kuwa tunaweza kufanya zaidi na kuipeleka Moshi mbali zaidi. Nilikuwa hapo siku si nyingi kwa mapumziko,na kweli nilitamani kukutana na vijana na kuzungumza nao ila wakati na majukumu haukuruhusu.Nachoona kinabaki kilivyokuwa ni majengo na makanisa ila hali za watu sio kama huko nyuma. Siku njema.
 
Eti sikukuu ziishe nirud nairobi .....kwa kujipaisha so unaona huko ndo kwenu nw na ngojea knuke huko kama sauz utakumbuka migomba yenu !!!penda kwenu usiwe mtumwa ulitaka nan akakujengee kwenu
 
Nilivyomuelewa mtoa mada ni kuwa Moshi ilipaswa kuwa imepiga hatua kubwa zaidi kimaendeleo ya kiuchumi,maendeleo ya upatikanaji wa huduma bora zaidi za kijamii na maendeleo ya walio wengi na sio wachache. Maendeleo sio barabara na mazingira yaliyo kijani au magari,watu wetu wanafanya nini kuwaingizia kipato chao? Huduma za kijamii zikoje na hapa sizungumzii uwepo wa Hospitali,ubora na aina ya huduma zinazopatikana zikoje? Binafsi hata shule tulizosoma tuliotoka huko tumeshindwa kuziboresha,lakini pia tuna vijana wengi tu ambao hawana ajira bado hatujazungumzia kiwango cha wanaume watu watu wazima ambao wamekuwa walevi wa kupindukia huko vijijini. Afya za watu zinadorora kila siku,sio wale wazee ulikuwa unaenda unakuta wako mashambani wanafanya kazi zao kwa bidii.

Mi nafikiri tujitafakari,je tunaweza kuwa sehemu ya kasi zaidi ya mabadiliko kwa mji wetu wa Moshi, tujiulize tu kwa nia ya kujenga na sio kujibu kwa kuwa mtoa mada ametoa maoni. Kwa nini tupo tulipo,nini tunaweza fanya kuwasaidia watu wetu kule Moshi na sio familia zetu tu? Wengi ni wakulima,ukifika Moshi utagundua climate change is real,joto sana na ile hali ya hewa imebadilika,tunafanya nini? Elimu na hospitali zetu,nini tunaweza fanya?

Nimetizama mchango wa mtoa mada kwa namna hii na naheshimu maoni ya kila mtu. Ninachowaza ni kuwa tunaweza kufanya zaidi na kuipeleka Moshi mbali zaidi. Nilikuwa hapo siku si nyingi kwa mapumziko,na kweli nilitamani kukutana na vijana na kuzungumza nao ila wakati na majukumu haukuruhusu.Nachoona kinabaki kilivyokuwa ni majengo na makanisa ila hali za watu sio kama huko nyuma. Siku njema.

Umeongea Point Mkuu Ahsante.
 
Moshi Hakuna Mall kabisa nimekuja mjini kutafuta mahiyaji ya familia nimeteseka sana hadi wakenya wananishangaa mji ambao mlima mkubwa uko Africa dah nimepata aibu sana

Rudi Kenya acha ulimbukeni
 
hawana tofauti na watu wa kibaha, kisarawe, mkuranga, wanaosema "nipo dar"!!

Utakuta mtu anatoka Dar anakwenda Same, Mwanga au Rombo nk lakini atakuambia anakwenda Moshi. Nimewahi kuliandika humu kwamba miji au wilaya kama za Songea (Mkoani Ruvuma), Bukoba (Mkoani Kagera) ni makao makuu tu ya mikoa hiyo lakini siyo ichukuliwe kwamba ndiyo jina la mkoa kama ambavyo hawa wenzetu wa Mkoa wa Kilimanjaro wanavyochukulia jina la wilaya au mji wa Moshi kubeba sehemu zote za Mkoa wa Kilimanjaro kua ni MOSHI.

Hapa nina maana mfano mtu anakwenda au anaishi wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma asiseme (Mbinga-Songea) na kama mtu anaishi Muleba asiseme (Muleba-Bukoba), kama ambavyo tumekua tunasikia eti Rombo-Moshi, Bomang'ombe-Moshi, Machame-Moshi, hakuna kitu cha namna hiyo. Rombo iko wilaya ya Rombo wakati Bomang'ombe na Machame ziko wilaya ya Hai, sasa unabaki kushangaa Moshi inakujaje hapo?
 
Huyu jamaa mtumwa kweli WA mawazo,badala ukajenge kwenu unaenda kula chang'aa na mademu WA kikuyu ukisifia nairobi shauri yako Leo sio sawa na kesho.
 
Dah nimepata Msiba kuamkia leo majambazi wamevamia nakuua nakuiba sh.elfu 30 Kisa mtu Katoka Safari Wanajua watu wana ela..R.I.P FRENK MANASE
 
Nipo hapa kijijini sambarai naenjoy h+ kama nipo Kisumu vile.mwaka jana nilivyoondoka sikuacha nertwork nzuri hivi ila sasa naipata,AIKA RUWA MATENGERA👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Nipo hapa kijijini sambarai naenjoy h+ kama nipo Kisumu vile.mwaka jana nilivyoondoka sikuacha nertwork nzuri hivi ila sasa naipata,AIKA RUWA MATENGERA👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

Enjoy life mkuu nyumbani hapo tarehe 24 ntakuwepo hapo.
 
Back
Top Bottom