Moshi ipo kama nilivyoiacha

Moshi ipo kama nilivyoiacha

Nipo hapa kijijini sambarai naenjoy h+ kama nipo Kisumu vile.mwaka jana nilivyoondoka sikuacha nertwork nzuri hivi ila sasa naipata,AIKA RUWA MATENGERA

JARIBU KUFIKA KINDI NA MANUSHI NA KWARAFAELI MKUU UNIAMBIE
 
Akili za nyumbu hizi utazijua tuu !!! Mnara umefungwa kule juu kabisa uri maseseweni
 
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana
Unakaa au kuishi Nairobi humiliki gari! Wacha wakushangae, ungekuja hata Probox ungefurahia kwenu
 
Sory mnama ngakuterewa na ISALE miiku. Nilikuwa na m quote huyo aliyekuambia jaribu kupanda kule juu Manushi na kindi.
WOi na woi sir!!!
303683c15b84fd8d32c5a1932dd75dc5.jpg

Aya mbee tuko tuko bize hapa
 
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu.

Xmass iishe minirudi Nairobi.

Nani apaendeleze kwaniaba yako? Wewe ndio ndorobo kweli kweli umekimbia kwenu na haujafanya chochote swaini
 
Moshi mji wa mapumziko ya xmas hauwezi kua hata nyumba haziuzwi watu wanafunga nyumba hafi xmas
 
Moshi mjini baada ya miaka mitano inaungana na himo ujenzi unaenda kwa kasi sana
 
Haya mkazi wa nairobi , vipi nairobi inabadilika sana.
 
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana

Yaani, Kenya ndio umekaa miaka mitano.watu tunatoka far east kuja nyumbani at le?st 2X kwa mw?ka. Utakuwa huna kaźi K?nya.
 
Mji utakua vipi wkt mnakimbilia kujenga dar??

Acha tu moshi kubaki hivi hivi

Moshi is beautiful n the weather is amaizing!!
 
Back
Top Bottom